daniel merengo
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 277
- 98
Habari njema sana hizi.Uchaguzi mdogo huko mbinga,kata ya mkako,kijiji cha Amani CCM imeangukia KISOGO baada ya mgombea wa chadema kupata kura 58 kati ya kura 103 zilizopigwa .Zama za MAGAMBA ZIMEFIKA.wajiandae kuwa wapinzani
Safi sana. Tupe taarifa kamili.Uchaguzi mdogo huko mbinga,kata ya mkako,kijiji cha Amani CCM imeangukia KISOGO baada ya mgombea wa chadema kupata kura 58 kati ya kura 103 zilizopigwa .Zama za MAGAMBA ZIMEFIKA.wajiandae kuwa wapinzani
umenikumbusha sentensi tata na surutia.Kama habari hii ni ya kweli hongera sana makamanda.
kabla ya uchaguzi chama gani kilikuwa na uongozi huo?Uchaguzi mdogo huko mbinga,kata ya mkako,kijiji cha Amani CCM imeangukia KISOGO baada ya mgombea wa chadema kupata kura 58 kati ya kura 103 zilizopigwa .Zama za MAGAMBA ZIMEFIKA.wajiandae kuwa wapinzani