CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,529
- Thread starter
- #21
inaruhusiwa kama wewe ni ccmSiasa inaruhusiwa vyuoni?
inaruhusiwa kama wewe ni ccmSiasa inaruhusiwa vyuoni?
Maisha sio kusoma tu. .Tuheshimu wanachofanya wengine piaSomeni nyie a
Someni nyie acheni kurubuniwa na akina mbowe ambacho chuo kikuu hawajakanyaga. Mmeenda kufanya siasa au kusoma!!
umemjibu vyemaMaisha sio kusoma tu. .Tuheshimu wanachofanya wengine pia
malaika bwana.anajijua mwenyeweCcm pekee ndiyo wanaoruhusiwa hao wengine wanavunja sheria ya malaika mkuu.
swadaktaSomeni Jamani siasa sio masomo mliotumwa kujifunza. Ndio maana tunashindwa kuandika mikataba. Kata funua. Ndio tunajua
mimi sijui kaka.naona tu chuoni watu wanajiunga nayo sanaChadema inaimarika udom wakati huku mitaani ipo taaban?!
wapo nimsikia ikipenya kibitiHivi kumbe chadema IPO? Na muda sijaisikia
lakini wana uwezo piaWatu wa Musoma Mara wanapenda kuongoza.Chacha,Waitara,Mwita,.Serikali za vyuo hutokosa kiongozi wa juu kutoka Musoma.
Nakumbuka Waitara alikuwa rais Daruso.
Sahihi kabisa.Ninajiuliza sipati majibu. Wanakula nini hawa jamaa? Halafu majasiri mnooo+lakini wana uwezo pia
InaruhusiwaSiasa inaruhusiwa vyuoni?
mkuu nafikiri wanakula sana vichwa vya samaki chengu wangali watoto.ila siku akitokea rais wa nchi wa pande zile.itakuwa mshikemshike tenaSahihi kabisa.Ninajiuliza sipati majibu. Wanakula nini hawa jamaa? Halafu majasiri mnooo+
Mlimkataa Makongoro. Mkamkata Muhongo mkamsusa Wassira.mkuu nafikiri wanakula sana vichwa vya samaki chengu wangali watoto.ila siku akitokea rais wa nchi wa pande zile.itakuwa mshikemshike tena