Chadema yaijaribu serikali.

We have to learn to balance between our political wishes and the wishes of the public in general. CCM ni chama cha kisiasa kama Chadema, CUF etc. Kwanini wanataka kuongoza hata umeya kwa kulazimisha? Hivi wana siasa wanajua thamani ya kumwaga damu ya mtu bila utaratibu?
 
baba, mwana roho mtakatifu muhurumie huyu, what a shame, wewe darasa la ngapi?
 

Zawadi Ngoda,
Am sorry, the thematic meaning of what you have wrote sounds that you have a caged mind about peoples' politics and development.
 
Ujinga ni maradhi mabaya sana kuliko magonjwa, heri mtu uugue kipindupindu kuliko kuugua magonjwa yanayowasumbua akina Zawadi Ngoda na Zomba! Majinga hayajui hata maandamano ya Arusha yalikuwa kwa ajili ya nini, yanajichanganya na kushabikia ujinga. Shule za Kata zitapunguza wagonjwa wa aina hii ili baada ya 2015 TUANZE KUJENGA NCHI UPYA.
 

mtindio wa ubongo unakusumbua,ngoja 2015 ifike uone kama haujafa kwa presha
 


Muda utaamua nani yupo sahihi kati ya cdm na serikali pale arusha
 
mwanamke malaya amejipaka wanja macho nje nje anatafuta mabwana, du mabwana wa dar wagumu mbaya sana

Hii ndio CHADEMA iliyotaka kupewa uongozi wa nchi. Ukitaka kujua wanaCHADEMA soma hoja kama hii.

NO COMENT.
 
Huyu Zawadi inawezekana ni "chakula ya wakubwa" wa ccm sio bure!
 
Hii ndio CHADEMA iliyotaka kupewa uongozi wa nchi. Ukitaka kujua wanaCHADEMA soma hoja kama hii.

NO COMENT.

Ulitaka ccm watumie hila juu ya suala la umeya Arusha kisha wanyamaziwe hata kama wana polisi na JWTZ? Hizo nyakati za kudumu kwa fikra za ccm pekee zimekwisha!
 

Kumbe hali halisi mnaijua. Eti pengine madhara yangetokea kidogo, lakini kwa nini yatokee. Maana kwa maoni yako ni kuwa ikiwa POLISI WASINGEWASHAMBULIA WAANDAMANAJI BADO KULIKUWA NA UWEZEKANO WA KUTOKEA MADHARA.

Tunahitaji maandamano yasiyo na madhara kwa watu. Na kumekuwa na maandamanomengi tu yasiyo na madhara. Huhitaji kuleta madhara, mnachohitajiwa ni kutoa ujumbe.
 
Naona kama vile sijajua nini kimeandikwa na juha huyu! Hivi haya si yameandikwa na Makamba? maana mawazo ya makamba na mawazo ya huyu bwana huwa siku zote yanafanana vile.
 
Zawadi umezidi upumbavu,ni ujinga kusema cdm wanataka kuungwa mkono na mataifa ya nje,cdm wanamtegemea Mungu na nguvu ya Uuma,na ndio maana kila jambo lzima wananchi wajue,ni uwendawazimu kuamini kuwa cdm wangevamia soko na maduka,kwa mwenye akili angelinda sehemu inayovamiwa na si kuvunja maandamano ya amani tena hata baada ya kutembea km 3,lakini pia igp hana mamlaka kisheria na kiutaratibu wa kipolisi kuingilia na kuvunja maandamano ni issue ya rpc na si igp
ni saa ya ukombozi,,,,
 

Hizo habari anazodai IGP Mwema kuwa za kiintelijensia ni kutoka kwa Makamba, Chiligati, Kinana, & co . Kazi ya Polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao na si kuua raia wema ili mradi tu sio wana ccm! Kule Shinyanga OCD alizabwa makofi na mwana-CCM lakini hatukuona hatua yoyote ili mradi tu ni mwenzao! Watz wanazidi kuelewa taratibu mpaka hapo "Gbagbo" (CCM) atakapoondoka ikulu!
 
We Ngoda. Hatuna chochote cha kusikiliza wewe. Point zako ni utumbo mwingine wa Mwema. Hamna lolote. Na kwa taarifa yako CCM imeweka babu, baba, mtoto na mjukumu madarakani hamna anayelalamikia maana ndio uozo tunaotaka kuutoa. Sasa wewe unakuja na utumbo wako. No oe will listen you. Kula kona na intelenjetsia yako. CHADEMA siku zote watapeta na hicho kifo unachozungumza wewe utakufa wewe na CHADEMA kitabaki pale pale
 
Zawadi you may need big help!! lakini kama ni vile viti kadhaa vya huyo JK wenu bado vipo lakini itabidi akakague hiyo kitu kwanza kama inalipa i think thats what u need ili ufanikiwe otherwise inabidi uende mirembe mwenyewe..... MTU GANI HUNA AKILI KABISAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…