CHADEMA yaigaragaza CCM

Hongereni sana wana Babati kwa kuitia adabu CCM
 
Mdogo mdogo tutafika ukombozi.
 
Kwa hiki kinachowatokea CCM ndio maana Bukoba Mjini wamelamba matapishi yao.
 
kwema kaka,hongera sana makamanda M4C
 
Kama Lipumba kweli ni mzalendo, aseme tu kuwa 2015 wataiunga CDM mkono kiti cha urais
 
ccm wanang'ang'ania bungeni wakisahau kuwa wananchi wana msimamo gani
 
kwa mfano kitendo cha kupitisha ule mswada bila upinzani waliona kuwa wameula kumbe wameliwa
 
Pamoja na ujumbe wa mawaziri wake saba, Rais Jakaya Kikwete wameshindwa kuwavutia watu JIJINI MWANZA. Naibu Waziri Mmoja alisema wizara yake ina mpango wa kununua vichwa 50 vya treni, wakati hata bajeti ya Train mmoja hana. Mwanza tunasema kwa Serikali ya Kikwete "Fool me once, shame on you. Fool me twice, shame on me" yakowapi maisha bora kwa kila Mtanzania kabla hujaja na Polojo nyingine?
 

Maumivu ya kichwa huanza polepole......zzm naona mwisho wenu umekaribia
 
Duh bado sana kama ni shule ndo chekechea Mziki wa ccm PhD
 
duh hii balaa kwa sababu na huku zanzibar jina la tundu lissu limesambaa kila kona, baada ya kuitetea zanzibar. Pia jimbo la kiembesamaki alikofukuzwa MANSOUR MAMIA YA VIJANA WANAJIANDAA KUREJESHA KADI ZA MAGAMBA. Naona uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…