Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,433
- 283,704
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ) kupitia kwa umoja wa vijana wa chama hicho ( Bavicha ) ambayo ndio Taasisi imara zaidi ya vijana barani Africa kwa sasa , imesikitishwa na imeguswa na msiba wa Mzee Mengi na inawapa pole sana wote walioguswa na msiba huo , Bavicha iko bega kwa bega na wafiwa katika maombolezo