CHADEMA yafunika Shinyanga

CHADEMA yafunika Shinyanga

Azima picha hata za jangwani jana
Maneno waachie ccm
 
Wacha urongo wewe, nilikuwepo hata mimi kwenye huo mkutano, nilichoshuhudia ni aibu zifuatazo:

1. Mgombea ubunge ndg Patrobas Katambi kuzomewa na wananchi kwa kumuita nakuja ( si makazi wa Shy)

2. Sintofahamu na mpasuko baina ya viongozi wa CDM Shy Mjini.

3. Kutambulishwa wagombea udiwani wawili ktk kata moja ya Ngokolo, ndg Onesmo- Cuf na ndg Ntobi- CDM.

4. Zones zomea iliyompata Lembeli na Mpendazoe.

5. Idadi ndogo ya watu waliojitokeza ktk mkutano tofauti na ilivozooeleka hapa SHY.

5. Mgombea, ndg Katambi kutuma zaidi ya robot tatu ya hotuba yake kuzungumzia sinema ya kuteka badala ya kueleza ataifanyia nini Shy na wakazi wake iwapo wakimchagua kuwa Mbunge.

Mkuu umeongea vizur kweli nlichotaka kuiandka umemaliza
 
Wewe ndo uache uwongo,mkutano wa ccm wa jana ulidolola na watu walikuwa wachache Sana ukilinganisha na mkutano wa Leo wa Ukawa watu weeeeengi Sana sijui Lowassa akija kiwanja gani kitatosha Shinyanga hii..masele mwenyewe wakuja,last time(2010) alifikiaga hotelini at least katambi hapa ni nyumbani.
 
Wacha urongo wewe, nilikuwepo hata mimi kwenye huo mkutano, nilichoshuhudia ni aibu zifuatazo:

1. Mgombea ubunge ndg Patrobas Katambi kuzomewa na wananchi kwa kumuita nakuja ( si makazi wa Shy)

2. Sintofahamu na mpasuko baina ya viongozi wa CDM Shy Mjini.

3. Kutambulishwa wagombea udiwani wawili ktk kata moja ya Ngokolo, ndg Onesmo- Cuf na ndg Ntobi- CDM.

4. Zones zomea iliyompata Lembeli na Mpendazoe.

5. Idadi ndogo ya watu waliojitokeza ktk mkutano tofauti na ilivozooeleka hapa SHY.

5. Mgombea, ndg Katambi kutuma zaidi ya robot tatu ya hotuba yake kuzungumzia sinema ya kuteka badala ya kueleza ataifanyia nini Shy na wakazi wake iwapo wakimchagua kuwa Mbunge.

Mbona unaonekana kama umechanganyikiwa vile? Tulia dawa ikuingie hata kama hautaki kufa kifo cha mende
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom