Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,578
- 28,701
Wakuu muda huu mkutano wa CHADEMA wa kumtambulisha mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA na UKAWA unaendelea viwanja vya ShyCom
Watu wamefurika balaa haijapata kutokea uwanja umetapika mpaka barabarani , Tanesco walikata umeme lakini makamanda wakaunga jenereta imebidi wauwashe tu.
Kamanda aliyetekwa na mbunge mtarajiwa Kamanda Patrobas anamwaga sera balaa akishirikiana na kamanda Lembeli.
Kwa mwitikio huu wa wananchi MASELE ahairishe tu kupiga hata kampeni.
Kwa hali hii Ccm inabidi mjipange sana mwaka huu hamna chenu.
Nita upload picha muda si mrefu network ni shida ila nazeta soon