mbona hajaonyesha hadhira ameonyesha viongozi tu? huu ni uongo wa mchana,juzi tu nimetoka Morogoro watu wameamka hatari wanataka ukawa tu,maeneo ya kionda+nane nane+bigwa+mji mpya+mzumbe +mazimbo kote huko ni UKAWA
Watu wazima na elimu zao kujitoa ufahamu miaka yote hiyo....Kampeni zote kupinga ufisadi na wizi wa mali za umma leo mjinga mmoja anauza chama kwa aliekuwa anawaibia.Ccm wamechoka na viongozi mizigo wamekimbilia cdm...bavicha hata hili hamkuliona au ndo kauli mbiu ya ccm kwamba vichwani hakuna akili ni mirungi,bange na viroba?.Tunataka mabadiliko ila sio kwa kutuletea pancha kama Lowass=>sumaye na majizi yote kutoka ccm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.