Naona mmekosa chakuandika.Unajua cdm wanatapata sana hivi unafikiri ccm imeanza jana?subiri muone maana sasa hivi hiyo Kata unayosema ndio kwanza wamepata viongozi wa CCM SHINA,CCM TAWI NA wanaelekea kwenye chaguzi za Kata,Wilaya,Mkoa na Taifa.Sasa wewe unayesema Kata nzima imehamia cdm si unawadanya wenzako? Safari hii msio kipenda CCM mtapata ugonjwa wa moyo bure.CCM tumejipanga kukamilisha mipango ya kulikomboa jimbo la Moshi Mjini ili mkose pa kuegemea.
KIDUMU CHAMA TAWALA CHA CCM.
leo katika hali ya kushangaza na ambayo haijawahi kutokea tanzania chama cha demokrasia na maendeleo kupitia kamanda asiyechoka ndesa pesa kimefanya kufuru kwa kuchukua kata nzima ya kimochi kuanzia mwenyekiti wa ccm kata ndg Fransis M Ringo na wananchi wa kijiji kizima cha mdawi.
wananchi hao walichukizwa na kitendo cha aliyekuwa naibu meya ndg stewart lyatuu kuondoa mradi wa sh bil 3 wa maji uliokuwa umeletwa na wafadhili.
baada ya kushindwa uchaguzi wa udiwani katika kata na kuchukuliwa na diwani wa chadema ndg macha na mwenyekiti wa kijiji kupitia chadema ndg kinyaha ccm kupitia bw lyatuu na kundi lake waliwafungulia mashtaka diwani na mwenyekiti na kuandaaa mashahidi wa uongo.
leo kupitia mkutano ambao umehudhuriwa na meya wa moshi mh jafary michael,ndesamburo,lusy owenya,mh koyi,mh kiwelu,mh macha na madiwani wa viti maalum ccm imeondolewa rasmi katika kata ya kimochi kwa habari zaidi fuatilieni itv taarifa kesho.
picha pia zipo nitawarushieni kesho.
Jamani huo sio ukweli nakanusha kabisa, kwamba moshi kuna ccm. Ccm imekufa kifo cha kufa na kuzikwa hakina members humu, na hivi punde wanachokifanya kina ndesamburo ni kuhakiki wanachama wa cdm walio hai kata nzima kuhamia chadema inawezekana ila ninachokijua na kukiamini mimi moshi kwa sasa hakuna gamba na kama lipo siku zake za kufa hazifiki 2015 katika uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji na vitongoji 2014 vua gamba vaa gwanda.
Naona mmekosa chakuandika.Unajua cdm wanatapata sana hivi unafikiri ccm imeanza jana?subiri muone maana sasa hivi hiyo Kata unayosema ndio kwanza wamepata viongozi wa CCM SHINA,CCM TAWI NA wanaelekea kwenye chaguzi za Kata,Wilaya,Mkoa na Taifa.Sasa wewe unayesema Kata nzima imehamia cdm si unawadanya wenzako? Safari hii msio kipenda CCM mtapata ugonjwa wa moyo bure.CCM tumejipanga kukamilisha mipango ya kulikomboa jimbo la Moshi Mjini ili mkose pa kuegemea.
KIDUMU CHAMA TAWALA CHA CCM.
Kipindi hiki ni kipindi kibaya sana kwa ccm. Imewafanya baadhi ya wanaccm kushindwa kujitambulisha kuwa ni wanaccm.
Mpaka wahindi wameamua kujiunga CHADEMA huu upepo kweli unavuma kwa kasi ya ajabu!
Asante Mungu kwa kuwafunulia mambo haya hata watoto wadogo!
CDM inachekesha sana adui muombee njaa,CCM ushindi 2015 utakuwa wa Tsunami habari ndo iyo
Naona mmekosa chakuandika.Unajua cdm wanatapata sana hivi unafikiri ccm imeanza jana?subiri muone maana sasa hivi hiyo Kata unayosema ndio kwanza wamepata viongozi wa CCM SHINA,CCM TAWI NA wanaelekea kwenye chaguzi za Kata,Wilaya,Mkoa na Taifa.Sasa wewe unayesema Kata nzima imehamia cdm si unawadanya wenzako? Safari hii msio kipenda CCM mtapata ugonjwa wa moyo bure.CCM tumejipanga kukamilisha mipango ya kulikomboa jimbo la Moshi Mjini ili mkose pa kuegemea.
KIDUMU CHAMA TAWALA CHA CCM.
CDM inachekesha sana adui muombee njaa,CCM ushindi 2015 utakuwa wa Tsunami habari ndo iyo
wewe akili yako ni kama ****** yako usipotaka soma habari humu kasome gazeti lauhuru na sikiliza tbc1:israel:Neno kijiji kizima ni zito hebu tuambie hadi watoto wa chini ya miaka 18 nao wamo?
Kijiji kina watu wangapi hadi ukajua kwamba wote wamehamia CHADEMA?
Tuwe macho kuongeza chumvi nyingi hata kama habari ni ya kweli inaharibika
Asante kwa taarifa..leo katika hali ya kushangaza na ambayo haijawahi kutokea tanzania chama cha demokrasia na maendeleo kupitia kamanda asiyechoka ndesa pesa kimefanya kufuru kwa kuchukua kata nzima ya kimochi kuanzia mwenyekiti wa ccm kata ndg Fransis M Ringo na wananchi wa kijiji kizima cha mdawi.
wananchi hao walichukizwa na kitendo cha aliyekuwa naibu meya ndg stewart lyatuu kuondoa mradi wa sh bil 3 wa maji uliokuwa umeletwa na wafadhili.
baada ya kushindwa uchaguzi wa udiwani katika kata na kuchukuliwa na diwani wa chadema ndg macha na mwenyekiti wa kijiji kupitia chadema ndg kinyaha ccm kupitia bw lyatuu na kundi lake waliwafungulia mashtaka diwani na mwenyekiti na kuandaaa mashahidi wa uongo.
leo kupitia mkutano ambao umehudhuriwa na meya wa moshi mh jafary michael,ndesamburo,lusy owenya,mh koyi,mh kiwelu,mh macha na madiwani wa viti maalum ccm imeondolewa rasmi katika kata ya kimochi kwa habari zaidi fuatilieni itv taarifa kesho.
picha pia zipo nitawarushieni kesho.
ngoja tumsubiri na katibu wako mwenezi Nape aka 'Thomaso' akitaka apewe majina ndio aamini!CDM inachekesha sana adui muombee njaa,CCM ushindi 2015 utakuwa wa Tsunami habari ndo iyo
CDM inachekesha sana adui muombee njaa,CCM ushindi 2015 utakuwa wa Tsunami habari ndo iyo
Neno kijiji kizima ni zito hebu tuambie hadi watoto wa chini ya miaka 18 nao wamo?
Kijiji kina watu wangapi hadi ukajua kwamba wote wamehamia CHADEMA?
Tuwe macho kuongeza chumvi nyingi hata kama habari ni ya kweli inaharibika
Jamani hiyo kata ni ya wilaya gani?
ngoja ubishane na picha kaka,katika vijiji ambavyo vilikuwa vimelishwa limbwata na chami ni vya kata hii lakini baada ya cig kuthibitisha kuwa chami ni mwizi wakaamua kuikimbia ccm.
Na kama unabisha eleza ilikuwa vipi chami akapata ubunge jimboni moshi?au unataka kutuambia ni wa viti maalum?
Kijiji nilichokutajia ndicho kijiji cha mwisho kwa maendeleo katika mkoa wa kilimanjaro lakini jana baada ya ndesamburo kuingia na operesheni vua gamba vaa gwanda ccm ikazikwa rasmi.