".....Mtemelwa alisema chama hicho hakina uwezo wa kuzunguka nchi nzima kunadi mkakati wao na kwamba kusema kinakwenda kubomoa ngome ya CHADEMA jijini Arusha ni siasa za kitoto."
Hapo mimi ndiyo huwa nachoka na CUF,kuweka upinzani kwa vyama vya upinzani,kweli ukiishaolewa kazi kweli kweli.
Haya bana. All the best CUF ila kuweni wabunifu badala ya kuiga vya wenzenu. Hawa wakianzisha operesheni Sangara na nyie mnaanzisha Zinduka; wakianzisha M4C na nyie V4C! Hamuwezi kubuni vyenu? Mna vichwa au nazi?
unazungumzia 95 vijana wengi walikuwa hawaja zinduka.usipende kwenda na tarehe ukasahau kuwa siku hazilingani.labda imejipanga kuimarisha ndoa lakin sio kushika dola.hapo wasaha si cuf tu hat ccmKwani Chadema ndio nani?...........waache waibeze kwani kishindo cha siasa hawajaanza wao walianza akina NCCR miaka 95 ije kua wao VIchadema...mna wameshajua kua CUF wamejiimarisha na washajua kua CUF wanakuja na nguvu mpya, na hilo litawezekana tu CHADEMA ni Chamtoto tu.