CHADEMA yaanzisha operesheni ondoa msaliti

pia msisahau kumulika kule Arumeru mashariki, kuna harufu ya usaliti inanuka kule

sent from servant of God

 
ndio mana Arusha wanasepa

Sent from my SM-G901F using JamiiForums mobile app
 
Lazima wasaliti watambue kuwa UKAWA siyo mahali pao lazima waondoke wakajiunge rasimi na bila kificho na wale walio waita nterahamwe.
 
Waache utapeli kutaka kutawala vyama vingine kwakutumia kivuli cha UKAWA hewa. Kama kweli wako tayari kuungana wajiunge kisheria na waonyesho mgawanyo wa majimbo kwa usawa.
 
Sisi tuko mikoani safisha wasaliti iyaze tupo tayali

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Nimechekaje
.... hakika Jf hsijawahi muacha yeyote na huzuni

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Msaliti namba moja ni Mbowe, alitusaliti wana mabadiliko na kuuza chama kwa fisadi Lowasa

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Tundu la nyuma limetema!

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…