Noni na Nsugu
Member
- Mar 18, 2013
- 94
- 27
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Mti wenye matunda hupigwa mawe.
Samahani!!!! Kwa sasa tupo Iringa kwenye mkutano wa kitaifa na Makamanda....
Tayari unasubiri ujira wako kwa nape? Hongera ndugu.Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Watanzania wanaona barabara zilizojengwa kila kona ya tanzania, hivi sasa unatoka mwanza hadi mtwara kwa bajaji.wanaona shule za sekondari kila kata, wanaona vyuo vikuu kila mkoa, ndio mana wanaiamini ccm na serikali yake. Wenye chuki kama ww ndio hamuoniNi kweli Sisiemu ipo Makini, lakini umakini wao upo katika Maneno ya kutuhadaa Wananchi, umakini wa Vitendo haupo kabisa!
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Wewe una mawazo gani kama sio upumbavu kama wa mbowe juzi anawasilisha malalamiko badala ya maoni ya kambi ya upinzaniWe kiraza kweli sasa unategemea chadema watoe majibu kwa nani zaidi ya kuikosoa serikali na upumbavu wake inaoufanyia umma wa wakulima hivi humu unafanya nini maana naona kama hujitambui vile unaona kuwa great thinker
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
walanguzi ni wale wanaojichotea ruzuku ya chama na kuzigawana na mahawara zao.
Dawa yao ipo kwenye sanduku la kura. Kuna uchaguzi mdogo ktk kats 26 mwezi ujao ngoja wataona vumbiBunge la bajeti linaendelea nyie mnapiga kampeni Iringa. Sioni kama mnawatendea haki wananchi waliowapigia kura.
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Tulia dawa iingie vizuri mkuu, vurugu za nn.mahawara ukiwamo wewe
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Watanzania wanaona barabara zilizojengwa kila kona ya tanzania, hivi sasa unatoka mwanza hadi mtwara kwa bajaji.wanaona shule za sekondari kila kata, wanaona vyuo vikuu kila mkoa, ndio mana wanaiamini ccm na serikali yake. Wenye chuki kama ww ndio hamuoni
puuzia hilo, 2015 sio mbali, ccm bila rushwa hakuna kitu..! Wabunge wa ccm mwaka 2015 hawawezi kuongezeka labda kupungua...Labda bunge la wachawi sio hili la tanzania nilijualo.
Kwa mimi ninae jua usanii wa serikali hii, namna Chiza ni mtu asiyekuwa na maana, yeye anaikingia serikali kifua kwa kumtengea billion 328 sekta ya kilimo , hii ajabu kweli, watanzania tulivyowavivu wa kufikiri tunaona upinzania wanakosea ! poleni watanzania mlioamua kuwa wavivu wa kufikiri