rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Mh!Mkuki kwa nguruwe.Ulivyotukana tukakuvumilia ukadhani hatujui kashfa eh.Pole Ukiona mtu yuko kinyume naye usianze kumtukana kwani na huyo mtu naye anayajua.Pole.
Ulipoanza nilikuvumulia kwa muda nilipoona unafanya mazoe nikamuua kukuonyesha kuwa hata mimi na uwezo wa kujibu kama unavyofanya.A golden rule usichopenda kutetendewa usimtendee mwenzeko.
Tukiendekeza huu mfumo tutabaguana sana tu. Anglia hiyo list ya viongozi ACT Kigoma.
Kiongozi mkuu ACT Taifa - ZZK (Mwislamu)
Mwenyekiti mkoa Wa Kigoma - Ibrahim Sendwe (Mwislamu).
Katibu mkoa - Msafiri (Mwislamu)
Katibu mwenezi mkoa - Juma Ramadhani (Mwislamu)
Mweka hazina Mkoa - Akida Ayubu (Mwislamu)
Mwenyekiti ngome ya Wazee mkoa - Mzee Kasisiko ( Mwislamu)
Mwenyekiti ngome ya vijana - Bwandu Ndaje (Mwislamu)
Watia nia za Udiwani waislamu, Mtia nia Wa Ubunge tangu mwaka Jana 2014 ambaye ni mkristu ameamrishwa kumuachia ZZK (Mwislamu) achukue nafasi hiyo.
Acha kupotosha kwa kudokoadokoa majina na vyeo visivyo na meno, niorodheshee mtiririko huo niliokupa.
mkutano wa chadema uliofanyika kigoma baada ya kuona wananchi hawataki kusikiliza habari zao za kikanda na kidikteta.
Wakaja na mbinu mpya ya kuwasafirisha watu kwenye magari ili waende kwenye mkutano .
La kuvunda halina ubani
Mkuu hebu nionyeshe tusi hata moja toka nimeandika. Sijatumia tusi kama nilivyojibiwa, mara oooh mi nalawitiwa! mara mimi mpumbavu! n.k lakini sijathubutu kujibu hivyo, iweje unasema eti ulinivumilia mara sijui mkuki kwa nguruwe!, acha kusema uongo.