CHADEMA ya leo ni sawa na Mrema wa 1995

CHADEMA ya leo ni sawa na Mrema wa 1995

Kama kuna kosa kubwa ambalo watanzania tungelijutia basi ni kumchagua Mrema kuwa raisi 1995, sijui hii nchi leo hii ingekuwa wapi. Kosa hilo tuliloliepuka 1995 tuliepuke tena mwaka huu, sioni mtu ndani ya UKAWA mwenye sifa stahiki kuliongoza taifa hili. Wote ni wasaka tonge tu. Mtu pekee mwenye uwezo wa kuongoza hii nchi kwa sasa ni SAS
Hovyoooo!
 
Ni kweli 1995 mgefanya kosa kubwa lakini mwaka huu hautafanya kosa ukiichagua UKAWA....nitarudi baadye kutoa sababu zangu.
 
Kama JK ameongoza miaka 10 kwa namna ambayo nchi inakuwa kama inajeindesha kwa autopilot, unapata wapi ujasiri wa kusema hakuna mtu ndani ya UKAWA mwenye sifa ya kuongoza taifa hili?!!!
 
Kama kuna kosa kubwa ambalo watanzania tungelijutia basi ni kumchagua Mrema kuwa raisi 1995, sijui hii nchi leo hii ingekuwa wapi. Kosa hilo tuliloliepuka 1995 tuliepuke tena mwaka huu, sioni mtu ndani ya UKAWA mwenye sifa stahiki kuliongoza taifa hili. Wote ni wasaka tonge tu. Mtu pekee mwenye uwezo wa kuongoza hii nchi kwa sasa ni SAS
unajua huu uhuru wa mawazo wakati mwingine unaweza kukudhalilisha bila kujua , kumfananisha mrema na UKAWA ni makosa makubwa mno , hivi kwanza kuongoza nchi maana yake nini ?
 
Kama JK ameongoza miaka 10 kwa namna ambayo nchi inakuwa kama inajeindesha kwa autopilot, unapata wapi ujasiri wa kusema hakuna mtu ndani ya UKAWA mwenye sifa ya kuongoza taifa hili?!!!

mkuu zaidi ya pongezi . sina kingine cha kukulipa .
 
Back
Top Bottom