Chadema wilayani Kasulu kunafuka Moshi

Chadema wilayani Kasulu kunafuka Moshi

Kama katukana dini rasmi ya CHAMA, basi afukuzwe!

CDM haina dini kama nyie CUF Zanzibar na CCM tanzania mna dini rasmi si CDM. Udini pelekeni huko kwenye vijiwe vyenu vya wenye masharubu na vitambi.
 
Huu ni umbea uliokithiri, buguruni ww unadhani ni ndogo km murusi kiasi cha mtu kukimbilia kasulu? nyie akina Masoud shule yenyewe tena ya msingi imewaashinda na ss mnataka kugeuza chadema km ndo kimbilio lenu la kutoka kimaisha, mlitakiwa msome

CDM ni ya wote rafiki. Acha ubaguzi. Kama mtu ana matatizo ni nafsi siyo kundi llote.
 
Join Date : 13th January 2013

Posts : 1
Rep Power : 0

Likes Received 0
Likes Given 0



JF imekuwa eneo la CHADEMA kutoa madukuduku yao badala ya kutumia vikao!
Hapo umenena! Ila hiyo ndiyo desturi ya viongozi wengi wa cdm.
 
Back
Top Bottom