Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,035
- 142,951
Watu wanakufa unaongea siasa....NonsenseNdugu zangu makamanda.
Kwanza poleni sana. Naona siku hizi mambo hayawaendei vizuri hususan kwenye chaguzi.
Hivyo ningependa kuwapa maneno mawili matatu ambayo naona yanaweza kuwafaa huko mbeleni.
Ni hivi, ifike mahali sasa mkane kuhusishwa na watu wanaowapa sifa na taswira mbaya kwenye jamii.
Watu ambao kazi waiwezayo ni kutukana matusi ya nguoni na kuchafua wenzao mitandaoni, kataeni kabisa kuhusishwa nao.
Mfano, huko Marekani ikitokea mgombea flani labda anaungwa mkono na limtu libaguzi au lijambazi, basi mgombea huyo atalazimika kuweka bayana msimamo wake kuwa hataki kuungwa mkono na limtu la hivyo na kama labda alipokea mchango wa fedha toka kwa hilo limtu, hizo fedha zitarudishwa.
Na nyinyi ifike wakati sasa muweke bayana kuwa hamtaki endorsement ya namna yoyote ile kutoka kwa yeyote yule ambaye kazi yake ni kutukana matusi yasiyo na mwisho.
Msiachie watu wanaoharibu taswira ya chama chenu ndo wa control the narrative kisa tu wanawatukana na kuwachafua mnaopingana na kushindana nao kisiasa.
Mnapokaa kimya bila ku denounce watu wa namna hiyo mnaishia kuonekana kama mnakubaliana na matusi yao kwa wengine.
Kama kweli chama chenu kina lengo la kuja kushika dola na kuunda serikali basi hamna budi kuhakikisha kuwa mbele ya jamii mnaonekana ni wenye uadilifu uliotukuka.
Kwenye siasa perception ni muhimu sana. Na perception hiyo hiyo ndo huwa uhalisia.
Jiangalieni.
chadema inazingua sana siku hizi..
Watu wanakufa unaongea siasa....Nonsense
Sera ya Chadema kwa mujibu wa Mbowe na wafuasi wake 'wako tayari kuungana/kushirikiana na shetani ili tu washinde uchaguzi'...bila kujua wananchi wameshawapuuza baada ya kuacha sera ya 'tunaanza na Mungu na tunamaliza na Mungu' ....anyways unataka kushauri waamuache kipenzi chao 'da mange'?..vumilia furushi la matusi
Wanakwambia "shetani akienda Chadema anakuwa malaika".Tayari washaanza....
Ndo maana hawashindi chochote siku hizi.
CHADEMA hawana msimamo na hawaja wahi kuwa na msimamo hata siku moja ndio maana walishindwa kusimamia msimamo WA kupambana na ufisadi. pamoja na tuhuma zote walizo msomea bado waka mruhusu lowassa kuwa mgombea wao WA urais. hawAna msimamo haoNdugu zangu makamanda.
Kwanza poleni sana. Naona siku hizi mambo hayawaendei vizuri hususan kwenye chaguzi.
Hivyo ningependa kuwapa maneno mawili matatu ambayo naona yanaweza kuwafaa huko mbeleni.
Ni hivi, ifike mahali sasa mkane kuhusishwa na watu wanaowapa sifa na taswira mbaya kwenye jamii.
Watu ambao kazi waiwezayo ni kutukana matusi ya nguoni na kuchafua wenzao mitandaoni, kataeni kabisa kuhusishwa nao.
Mfano, huko Marekani ikitokea mgombea flani labda anaungwa mkono na limtu libaguzi au lijambazi, basi mgombea huyo atalazimika kuweka bayana msimamo wake kuwa hataki kuungwa mkono na limtu la hivyo na kama labda alipokea mchango wa fedha toka kwa hilo limtu, hizo fedha zitarudishwa.
Na nyinyi ifike wakati sasa muweke bayana kuwa hamtaki endorsement ya namna yoyote ile kutoka kwa yeyote yule ambaye kazi yake ni kutukana matusi yasiyo na mwisho.
Msiachie watu wanaoharibu taswira ya chama chenu ndo wa control the narrative kisa tu wanawatukana na kuwachafua mnaopingana na kushindana nao kisiasa.
Mnapokaa kimya bila ku denounce watu wa namna hiyo mnaishia kuonekana kama mnakubaliana na matusi yao kwa wengine.
Kama kweli chama chenu kina lengo la kuja kushika dola na kuunda serikali basi hamna budi kuhakikisha kuwa mbele ya jamii mnaonekana ni wenye uadilifu uliotukuka.
Kwenye siasa perception ni muhimu sana. Na perception hiyo hiyo ndo huwa uhalisia.
Jiangalieni.
Chadema ina Mwenyekiti dhaifu sana, anaefurahia matamko ya viongozi na wanachama wake wanao smear bad image ya chama chake. Hana full control ya Chama ndio maana kila mtu ni msemaji wa chama, Ukitaka kujua hilo tazama alivyopata tabu kumsafisha Lowassa baada ya kutukanwa sana kwa kosa la kukutana Ikulu na Magufuli. Kama so Lowassa kumuita na kumtaka ahakikishe anasafisha hali ya hewa, angekaa kimya. Nasema chadema kama chama hakina wapenzi na wanachama wa kuwapa ushindi ktk chaguzi, wanategemea wanachama wa chama vingine kuweza kushinda. Kwa bahati mbaya hujisahau wakawatukana, wakawakebehi hats kuwatisha wasijitokeze kupiga kura. Lugha za "kesho patachimbika mpaka mgombea wetu atangazwe" zimewafanya watu wasikilizie uchaguzi nyumbani badala ya kwenda kupiga kura vituoni.Ndugu zangu makamanda.
Kwanza poleni sana. Naona siku hizi mambo hayawaendei vizuri hususan kwenye chaguzi.
Hivyo ningependa kuwapa maneno mawili matatu ambayo naona yanaweza kuwafaa huko mbeleni.
Ni hivi, ifike mahali sasa mkane kuhusishwa na watu wanaowapa sifa na taswira mbaya kwenye jamii.
Watu ambao kazi waiwezayo ni kutukana matusi ya nguoni na kuchafua wenzao mitandaoni, kataeni kabisa kuhusishwa nao.
Mfano, huko Marekani ikitokea mgombea flani labda anaungwa mkono na limtu libaguzi au lijambazi, basi mgombea huyo atalazimika kuweka bayana msimamo wake kuwa hataki kuungwa mkono na limtu la hivyo na kama labda alipokea mchango wa fedha toka kwa hilo limtu, hizo fedha zitarudishwa.
Na nyinyi ifike wakati sasa muweke bayana kuwa hamtaki endorsement ya namna yoyote ile kutoka kwa yeyote yule ambaye kazi yake ni kutukana matusi yasiyo na mwisho.
Msiachie watu wanaoharibu taswira ya chama chenu ndo wa control the narrative kisa tu wanawatukana na kuwachafua mnaopingana na kushindana nao kisiasa.
Mnapokaa kimya bila ku denounce watu wa namna hiyo mnaishia kuonekana kama mnakubaliana na matusi yao kwa wengine.
Kama kweli chama chenu kina lengo la kuja kushika dola na kuunda serikali basi hamna budi kuhakikisha kuwa mbele ya jamii mnaonekana ni wenye uadilifu uliotukuka.
Kwenye siasa perception ni muhimu sana. Na perception hiyo hiyo ndo huwa uhalisia.
Jiangalieni.
Nyani Ngabu haya madhaifu uliyoyaona CDM ndiyo yaliyoperekea kuwashambulia kwa risasi kutwa kucha??!! Je mtu akiwa dhaifu, ndio anyimwe uwezo wa kujieneza kwa wananchi kwa sababu zozote ?!Ndugu zangu makamanda.
Kwanza poleni sana. Naona siku hizi mambo hayawaendei vizuri hususan kwenye chaguzi.
Hivyo ningependa kuwapa maneno mawili matatu ambayo naona yanaweza kuwafaa huko mbeleni.
Ni hivi, ifike mahali sasa mkane kuhusishwa na watu wanaowapa sifa na taswira mbaya kwenye jamii.
Watu ambao kazi waiwezayo ni kutukana matusi ya nguoni na kuchafua wenzao mitandaoni, kataeni kabisa kuhusishwa nao.
Mfano, huko Marekani ikitokea mgombea flani labda anaungwa mkono na limtu libaguzi au lijambazi, basi mgombea huyo atalazimika kuweka bayana msimamo wake kuwa hataki kuungwa mkono na limtu la hivyo na kama labda alipokea mchango wa fedha toka kwa hilo limtu, hizo fedha zitarudishwa.
Na nyinyi ifike wakati sasa muweke bayana kuwa hamtaki endorsement ya namna yoyote ile kutoka kwa yeyote yule ambaye kazi yake ni kutukana matusi yasiyo na mwisho.
Msiachie watu wanaoharibu taswira ya chama chenu ndo wa control the narrative kisa tu wanawatukana na kuwachafua mnaopingana na kushindana nao kisiasa.
Mnapokaa kimya bila ku denounce watu wa namna hiyo mnaishia kuonekana kama mnakubaliana na matusi yao kwa wengine.
Kama kweli chama chenu kina lengo la kuja kushika dola na kuunda serikali basi hamna budi kuhakikisha kuwa mbele ya jamii mnaonekana ni wenye uadilifu uliotukuka.
Kwenye siasa perception ni muhimu sana. Na perception hiyo hiyo ndo huwa uhalisia.
Jiangalieni.
Naona umeamua kuficha uso wako ndani ya mchango na kuacha makalio yako wazi.Ndugu zangu makamanda.

Naona umeamua kuficha uso wako ndani ya mchango na kuacha makalio yako wazi.
Hukusikia JPM aliagiza wakurugenzi kuwa atawashangaa sana kumtangaza mpinzani akiwa kashinda?!
Hukuona wala kusikia Jana wizi, uporaji na kila aina ya ujambazi uliofanywa na NEC kwa mashirikiano na jeshi la polisi?
Wanachama na washabiki wa ccm kwa ujumla wake ebu muwe mnatumia akili zenu sawa sawa ili kujua ukweli wake ulipo.
Na aliyekulisha matango pori ya taarifa kuwa ccm hushinda kwenye box la kupigia kura ni nani huyo?
Kwa taarifa yako kama ulikuwa hujui ni kwamba ccm bila msaada wa jeshi la polisi, nec na ded haiwezi kushinda kwa majimbo mengi sana nchini.