CHADEMA acheni unafiki,si mlimtukana Jakaya Kikwete ?, leo eti mnamkumbuka !

mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,843
3,128
CHADEMA ACHENI UNAFIKI, SI-MLIMTUKANA JAKAYA! Acha Mvua ya Mawe Iwanyeshee.

Na:George Kabadi.
================================
Chama cha demokrasia na maendeleo-Chadema, ni chama chenye watu wasio na msimamo. Wanachama wa chadema wamekuwa siyo watu wa kujitafakari, wanashindwa kutofautisha baina ya kuongea na kuropoka, chadema ni waropokaji.

»Baraza la vijana la Chadema-Bavicha, limeshindwa kutengeneza vijana wenye hoja za kujitambua.
Ni kijana mmoja tu kati ya vijana kumi wa chadema, anaeweza kuongea bila kutukana si akina Mdude wala Mdee, ni wamejifyatua akili.

»2005-2015 Kazi kubwa waliyokuwa wanaifanya ni kumtukana Dr JK wa pili, licha ya kuwapa uhuru mkubwa wa kuongea lakini hawakuutumia vyema uhuru huo.

»Katika awamu ya Jakaya.
:-Chadema waliruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa, lakini waliitumia kumtukana JK, walimtukana kila aina ya matusi, leo hii wanajifanya wamemkumbuka huo ni unafiki.

:-Chadema walikuwa na uhuru wa kuongea lakini wakautumia kuhamasisha, mandamano yenye dhumuni la kuchafua taswira ya nchi, walihamasisha mandamano katika vyama vya wafanyakazi walimu na wauguzi, waliandamana bila sababu za msingi.

»Awamu hii ya tano, wamekutana na mwamba maskini mwenye roho mbaya, kwa unafiki wao wanamkumbuka Jakaya waliyemtukana na kumdharirisha. Huu ni ukichwa bure.

Swali kwa Vichwa Bure?
:-Ikiwa Jakaya alipokuwa madarakani mlisema nchi imemshinda, je baada ya kuondoka kipi kinachowafanya mmukumbuke?
:-Jakaya alipokuwa madarakani, mlisema anaongoza serikali ya mafisadi, je leo kipi kinawafanya muikumbuke serikali ya mafisadi?
Chadema nyie ni wanafiki, na unafiki wenu ndiyo unatufanya tuwaone wahuni wa fikra, ni aibu kwa chama cha siasa chenye dhumuni la kushika dola, kuendeshwa kama genge la wahuni nchini Mexco.

»Mwenyekiti wa chadema kafanikiwa kuwa weka mfukoni vijana wa chama chake, alisemalo yeye ni amri siyo ombi!
Ni aibu kwa vijana wasomi kuburuzwa kama mkia, kukubari na kutii ufinyu wa fikra za mtu, ivi kwanini chama hakikuandika barua kwa spika, katika swala la Lissu?
Ni hairuhusiwi mwanachama wa chama chenu kuwa na nguvu kuliko mwenyekiti, ukiibuka unakatwa mkia.

»Tuliyaona haya kwa Zitto Kabwe, alipofukuzwa kama paka mkomba mboga, umaarufu wa Dr Slaa ulizimwa kisela, Zitto na Dr Slaa hawakujua chadema haikuanzishwa ili ishike dola, bali chadema ni mradi wa watu kujipatia ruzuku.
Acha mvua ya mawe iwanyeshee. Muombeni radhi Jakaya, msimkubuke kinafiki.

Kalamu Ya Mwebrania
Na:George Kabadi
0759 131 717
 
Hovyo na wala hamuelewi kazi inayofanywa na huu "utatu" wa kifo cha Sisiem(wajinga huwa hawaelewi untill it is too late).

BM aliitoa sisiem kutoka mtaani na kuipeleka wodini.Jk,kwa upande wake,aliitoa sisiem kutoka wodini na kuipeleka ICU,na JPM anaitoa ICU na kuipeleka kaburini.
 
Tegemea povu la kutosha toka bavicha
Kwa kuongezea walisema JK ni dhaifu,na kuna siku mwenyekiti wao bungeni akasema hii ili isonge mbele inahitaji mtu dikiteta,kapatikana mwanaume wa shoka kwa sasa wanahaingaika tena kumpinga
 
mzee wa msoga alikua ukimzingua anakuita magogoni anakupa juice alafu anakuuliza"ehe shida iko wp mwenzangu"mnazungumza mambo yanaisha kimya kimya,
 
Hovyo na wala hamuelewi kazi inayofanywa na huu "utatu" wa kifo cha Sisiem(wajinga huwa hawaelewi untill it is too late).

BM aliitoa sisiem kutoka mtaani na kuipeleka wodini.Jk,kwa upande wake,aliitoa sisiem kutoka wodini na kuipeleka ICU,na JPM anaitoa ICU na kuipeleka kaburini.
Mmoja eti wa vijana makini wa kuihami chadomo,ha ! ha ! ha !, zero kabisa
 
Umeweka na mawasiliano kabisa ili uteuliwe.CCM itapata pigo kubwa sana,pigo moja tu pigo lililonyooka.
 
Hovyo na wala hamuelewi kazi inayofanywa na huu "utatu" wa kifo cha Sisiem(wajinga huwa hawaelewi untill it is too late).

BM aliitoa sisiem kutoka mtaani na kuipeleka wodini.Jk,kwa upande wake,aliitoa sisiem kutoka wodini na kuipeleka ICU,na JPM anaitoa ICU na kuipeleka kaburini.
Mimi ndio maana huwa naona watu wengine ni punguani kabisa.Yaani mtu unakomaa mpaka mishipa ya shingo inakutoka kwa kitu hewa.Hivi kweli niseme wanaojiita wanachama wa CDM hawajui kwamba CDM ni hewa.Sijui wapewe viashiria gani ndio wajue kwamba CDM ni kiini macho.Pambafu kabisa.Kweli wajinga ndio waliwao.
 
Tangu lini ukapambananacho chama amacho ni hewa(dhaifu) kwa kutumia mabavu ya dola?

Hivi wewe kweli uko timamu au kichwani kumejaa tope la Kolomije/Chato?
 
Mimi ndio maana huwa naona watu wengine ni punguani kabisa.Yaani mtu unakomaa mpaka mishipa ya shingo inakutoka kwa kitu hewa.Hivi kweli niseme wanaojiita wanachama wa CDM hawajui kwamba CDM ni hewa.Sijui wapewe viashiria gani ndio wajue kwamba CDM ni kiini macho.Pambafu kabisa.Kweli wajinga ndio waliwao.
Chama hewa halafu kinashiriki uchaguzi mkuu?Basi Msajili wa vyama vya siasa atakuwa ni mwendawazimu kurusuhu chama hewa,Muhimili wa bunge utakuwa hauna maana kama wanaruhusu chama hewa kuwa kambi rasmi ya upinzani bungeni!Serikali itakuwa ya kijinga kama inatoa ruzuku kwa chama hewa!!!!!

Nadhani wewe ndio mpuuzi wa kupuuzwa!
 
Mmoja eti wa vijana makini wa kuihami chadomo,ha ! ha ! ha !, zero kabisa

Kila mara maelezo ya wanaccm ni haya haya kwamba JK anakumbukwa, kwa taarifa yako JK alikuwa dhaifu na huyu magu ni katili a.k.a dictator uchwara. Hakumbukwi JK bali anapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa ili kumzodoa jiwe.
 
Tulitoka kwenye MOKASINI, na Jakaya akaja kuwa KANDAMBILI, now tupo PEKUPEKU...Mkuu hujasikia ni HERI KANDAMBILI KULIKO PEKU PEKU?!
 
Kuwa mwanamume Kiri kwanza alichoandika mwanamume mwenzako. If at all you are a man. Then ndo eleza mengine. Sijui hata kwanini hamjui kukubali makosa ni dalili ya kwanza kwamba nyie sio maroboti
Hovyo na wala hamuelewi kazi inayofanywa na huu "utatu" wa kifo cha Sisiem(wajinga huwa hawaelewi untill it is too late).

BM aliitoa sisiem kutoka mtaani na kuipeleka wodini.Jk,kwa upande wake,aliitoa sisiem kutoka wodini na kuipeleka ICU,na JPM anaitoa ICU na kuipeleka kaburini.
 
MTU akitukanwa huwa anatakiwa asahaulike kabisa hata akija mwingine anayestahiri kutukanwa zaidi? Kuna mtu alitukanwa mpaka matusi ya nguoni lakini bado anakumbukwa. Chadema hawakutamani Dictator uchwara bali mwenye uwezo kama Jerry Rawlings wa Ghana.
Kwakuongezea wangempata Fidel Castro wa cuba, wapinzani wote walikimbilia marekani. Wamerud cuba baada yayeye kufa. Siku waliposikia taarifa za kifo chake walishangilia mitaani.
 
Back
Top Bottom