Inaonekana kwa miaka 12 iliyopita ulikuwa hufuatilii habari za Chadema. Kwa taarifa yako Chadema wana uhusiano wa karibu na wako more welcomed than Ccm kwenye hiyo "museum".
Pale Bitiama pamefanywa sehemu ya makumbusho ya taifa, usipachukulie kama msiba wa kijijini kwako. Unaweza kupatembelea hata baada ya miaka 100
Nani aliyekwambia ndiyo leo wanakwenda kuzuru kaburi la Baba wa Taifa? Ninavyofahamu mimi viongozi wa CHADEMA wamewahi fanya ziara binafsi za kwenda zuru alipolala Baba wa Taifa, lakini safari hii wanakwenda kama timu yenye kazi maalum huko. Wao CCM huenda nyakati za uchaguzi tu na kadiri ninavyofahamu wataonekana huko mwaka 2014 au 2015 mwanzoni kujikomba kwamba "wanamuenzi" mwasisi wa chama chao ambacho kwa kweli si kile tulichokuwa tukikifahamu bali ni kilichochakachuliwa na mafisadi.Toka amekufa ndo leo chadema inaenda?
12 years?oh my God
1999 chadema haikuwepo?
why now?
Asume umefiwa afu mtu anakuja kuhani after 12 years lol
Au ndo kutembelea museum?
Anyway,all the best!
Nani aliyekwambia ndiyo leo wanakwenda kuzuru kaburi la Baba wa Taifa? Ninavyofahamu mimi viongozi wa CHADEMA wamewahi fanya ziara binafsi za kwenda zuru alipolala Baba wa Taifa, lakini safari hii wanakwenda kama timu yenye kazi maalum huko. Wao CCM huenda nyakati za uchaguzi tu na kadiri ninavyofahamu wataonekana huko mwaka 2014 au 2015 mwanzoni kujikomba kwamba "wanamuenzi" mwasisi wa chama chao ambacho kwa kweli si kile tulichokuwa tukikifahamu bali ni kilichochakachuliwa na mafisadi.
Ni vyema wakaeleza wenyewe Chadema kwanini wanatembelea kaburi la bwana mkubwa kwani inaweza kueleweka kua wakichukua madaraka wataongoza kama mwalimu.
Wakati tulionao sidhani kua siasa za Mwalimu bado ni muwafaka. Ninafikiri wale wanaomjua Mwalimu nyerere vizuri wengi watakubaliana namimi
Mbona unajichanganya mwenyewe?
Sasa ulitegemea nijueje kama ni ziara binafsi au unadhani nina mke ambae ni kiongozi ndani ya chadema kwamba ataniibia siri zao?
Je wewe umewahi kudhuru kaburi la mwalimu? Au ni Bingwa wa kunyooshea vidole wenzako?Wameenda kama waTZ na ziara ktk kaburi la mwl ni ishara ya kumuenzi mpiganaji wetu mkuu wa Taifa hili hata wewe unawajibu wa kuzuru siku moja kama ni mwanamapinduzi halisi. Kumbuka si lazima kudhuru kaburi hilo kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi hivyo kutokudhuru si kosa.Toka amekufa ndo leo chadema inaenda?
12 years?oh my God
1999 chadema haikuwepo?
why now?
Asume umefiwa afu mtu anakuja kuhani after 12 years lol
Au ndo kutembelea museum?
Anyway,all the best!
Je wewe umewahi kudhuru kaburi la mwalimu? Au ni Bingwa wa kunyooshea vidole wenzako?Wameenda kama waTZ na ziara ktk kaburi la mwl ni ishara ya kumuenzi mpiganaji wetu mkuu wa Taifa hili hata wewe unawajibu wa kuzuru siku moja kama ni mwanamapinduzi halisi. Kumbuka si lazima kudhuru kaburi hilo kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi hivyo kutokudhuru si kosa.
Napenda uelewe kuwa wakati wa kampeni za 2005 MBOWE (MUASISI WA KAMPENI ZA CHOPA TZ) na timu yake walidhuru ktk kaburi la mwalimu, hivyo viongozi wa CDM wamesha wahi kudhuru kaburi la mwalimu, kumbuka katika operasheni SANGARA walidhuru pia. Usiwe na kumbukumbu haba kama kitimoto.
Kumbuka kuwa hadi leo watu mbalimbali wanadhuru makaburi ya MAFARAO WA MISRI na ni sehemu ya UTALII hivyo muda si mrefu Kutembelea kaburi la mwalimu itakuwa ni utalii kwa wanamapinduzi wote duniani na waafrika wenye uchungu wa Afrika yao wanao waenzi viongozi wao makini waliotangulia mbele za haki.(Hivyo usitake kuwaaminisha watu kuwa kwa mwanasiasa wa Tanzania ni lazima atembelee kaburi la mwalimu kama ziara ya HIJA ya kisiasa) Kumbuka sio wote wanao muona mwalimu ni mkombozi wengine wanampinga mwalimu hivyo kudhuru KABURI LA MWALIMU USIWAAMINISHE WATU KUWA NI HIJA YA KISIASA
Una maana gani wewe speaker mbovu? Umeona hoja ya mke ndio hoja ya kuleta hapa? Kwani wao ni tools kwajili ya hio? Huu ni uzalilishaji wa wanawake! Its better u keep quite kama huna hoja ya msingi. I wonder kama umeoa au kuolewa!
Jamani hawa watu walionunuliwa kuja kutuchafulia hali ya hewa humu JF ni kuwa-ignore tu,ni watu wa uelewa mdogo! Ni kama kufukuzana na kichaa aliyekuibia nguo zako wakati unaoga kwenye vyoo vyetu vya passport-size!