CHADEMA wazomewa Mwanza

Hahaha hahaha hizi picha za magamba zinachekesha.
 
hujaelewa. ni kwamba baada ya kuzomewa pale stand, akaamua kujikosha kwa kumsifia mbunge wa ccm

Mkuu nahisi wewe ndio hujaielewa vizuri, hebu ipitie upya hiyo habari. Anasema 'baada ya kuona anatumia mda mwingi kumsifu.................' kwa maana hiyo zomea ilikuja baada ya kuona diwani hana sera mpya. Na acha azomewe na mimi nasema wazomeeni tu!
 
Cccm chama cha kichina, kama ilivyo ina wanachama wa kichina ndio maana uzi zao nazo za kichina kama bidhaa za kichina.
 
katika hali ya kawaida chadema haiwezi kuzomewa mwanza.nimetembea sana nchi hii kwa sasa chadema ni mkombozi wa watu na ukileta upuuzi unaondolewa na wananchi wenyewe.

Ni kweli mkuu, nimetembea sehem kubwa sana mkoa wa mwanza sidhani kama kuna sehem wanawezaizomea cdm kwa jinsi inavyokubalika. Ila wananchi wa sasa ni waelewa wakiona unatumika na magamba lazima wakuzomee!
 
All my Ladies, All my Ladies, Pu**y, Pu**y..... Kukere Kukere......

Wamekazana kweli kweli.... Sitta upo?

Zilipanda wakamwaga RADHI......
 
Labda kama unamaanisha MUWANZA ya Zambia lakini sio MWANZA ya Tanganyika tunayoifahamu!

CCM Mwanza Tanganyika ilishazikwa siku nyingi.
mkuu mimi nilikuwepo kwenye mkutano huo. Huyu jamaa ana haki roho imuume kwani CCM iliingia gharama kubwa sana kununulia watu pombe na kuwatisha kwa kutumia mabalozi wao ili watu wasiende kwenye mkutano huu ,Lakini watu walikunywa pombe na fedha walichukua na mkutanoni wakahudhuria kwa wingi. Wewe huwezi kuona alivyojichanganya kwa kuchanganya Wilaya ya misungwi katika matukio ya Wilaya nyingine. Hata ukiwa mwongo hata jiografia hujui??!!?
 
Ingekuwa ni ajabu kama Mwanza yote wangekosekana magamba 10 yanayoweza kuzomea!! Ni jambo la kawaida ila CDM iko juu Mwanza!
 
Kajipange upya na uongo wako.

Wewe unazungumzia kuwa gari la M4C kuzomewa kwenye kituo cha daladala halafu unaunganishia as if ilitokea kwenye mkutano na kudai eti "mkutano ulinusurika kuvunjika".

Kwani mkutano ulifanyika kwenye kituo cha daladala?
 
Nenda Lumumba kadai mgawo wako.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Labda kama unamaanisha MUWANZA ya Zambia lakini sio MWANZA ya Tanganyika tunayoifahamu!

CCM Mwanza Tanganyika ilishazikwa siku nyingi.

mkuu nimecheka sana jamaa anazani mwanza ipo malawi, mwaka huu mnatoa povu sana M4c 4 life! We want 2 change tz nw we are tired with ccm!
 
Kaka huruma!!... Sina cha kusema vipi dada huruma na mama huruma wako karibu nawe?
 
Kaka huruma!!... Sina cha kusema vipi dada huruma na mama huruma wako karibu nawe?
 
All my Ladies, All my Ladies, Pu**y, Pu**y..... Kukere Kukere......

Wamekazana kweli kweli.... Sitta upo?

Zilipanda wakamwaga RADHI......

Hivi CCM wana ugonjwa gani jamani? Mbona kila mahali wanacheza nhoma za ajabu ajabu?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…