Huku tunakoelekea kutamu, kweli tanzania itaokolewa au kuangamizwa na watanzania wenyewe.... na dawa ya ubaya si kuusema tu bali kuukataa kwa vitendo na kwa nguvu zote!!!🙂
Safi sana endelezeni mapambano! Tanzania ikombolewe kutoka kwenye wimbi la ufisadi, rushwa, matumizi ya mabavu ktk uongozi, kama mwenge wa Mwalimu Nyerere na wakoloni, wahujumu uchumi, wala rushwa. VERY GOOD CHADEMA, Mwenge wenu usiishie Mara tu na Uzunguke Tanzania nzima kwani mafisadi wapo kote Tanzania.