CHADEMA waunguruma Sengerema

CHADEMA waunguruma Sengerema

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
Monday, March 23, 2015

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, Salim Mwalim, akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sengerema mjini humo mkoani Mwanza hivi karibuni

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, Salim Mwalim (kushoto) akimsikiliza kada wa Chadema Wilaya ya Sengerema, Hamis Tabasamu (kulia) akieleza nia yake ya kugombea Ubunge Jimbo la Sengerema katika Uchaguzi Mkuu 2015


K-VIS Blog



at 7:53 AM
 
Hivi ni lini naibu katibu mkuu wetu wa Zanzibar Ndg. Salum Mwalimu ataanza ziara za kukijenga chama chetu huko upande wa pili wa muungano (nchi ya Zanzibar)??
 
Hii ndo kazi sio usanii unaofanywa ns adui mpya wa ukombozi a.k.a mtoto wa CCM anaedhani kufanya kikao serena hotel ni sawa na mkutano wa hadhara!! Tunamsubili filidi.
 
Maandalizi ya muda mrefu ya Chadema kuchukua dola yanaonekana sasa,
Sasa njia ni tambarare kwa UKAWA kuchukua Dola.

Wasaliti kibarua chao kinaisha October mwaka huu
 
Nimeamini chadema ni chuo cha kutengeza vichwa, kama alivyotengenezwa Zitto na Mbowe, pia Mwalim Salum kapikwa hasa maana jamaa anajua siasa sio mchezo,
 
Last edited by a moderator:
Nimeamini chadema ni chuo cha kutengeza vichwa, kama alivyotengenezwa Zitto na Mbowe, pia Mwalim Salum kapikwa hasa maana jamaa anajua siasa sio mchezo,
Kweli mkuu Mwalim atafika mbali sana kisiasa.
 
Last edited by a moderator:
Mageuzi yameiva sasa, taratibu hadi oktoba tutaheshimiana tu.
 
Hivi ni lini naibu katibu mkuu wetu wa Zanzibar Ndg. Salum Mwalimu ataanza ziara za kukijenga chama chetu huko upande wa pili wa muungano (nchi ya Zanzibar)??

Kwa maana ya ukawa kule znz wameachiwa cuf mkuu
 
Wenzake wanatumbua pesa za ruzuku ye anahangaika kupiga makelele jukwaani, Huyu jamaa bwana. Hako kacheo alikozawadiwa na wachagga kanampa kiburi , hajui muda si mrefu watamfukuzia mbali, chezea Mtei wewe..!!!
 
Back
Top Bottom