CHADEMA waunguruma Sengerema

CHADEMA waunguruma Sengerema

Wenzake wanatumbua pesa za ruzuku ye anahangaika kupiga makelele jukwaani, Huyu jamaa bwana. Hako kacheo alikozawadiwa na wachagga kanampa kiburi , hajui muda si mrefu watamfukuzia mbali, chezea Mtei wewe..!!!

Hatuendi kwa propaganda za lumumba, CHADEMA ni chama imara sana duniani.
 
Chadema wanahangaikia nini sengerema wakati hilo ni jimbo la nccr mageuzi, Au Ukawa imekufa?
 
Maandalizi ya muda mrefu ya Chadema kuchukua dola yanaonekana sasa,
Sasa njia ni tambarare kwa UKAWA kuchukua Dola.

Wasaliti kibarua chao kinaisha October mwaka huu

Mwisho wao ni october na nawaomba ukawa kumuogopa zzkkama ukoma
 
frema120 inamaana ulitangaza nia ukiwa dar halafu mikutano ya jimbo unalotaka kugombea haupo kwa nini?
 
Wenzake wanatumbua pesa za ruzuku ye anahangaika kupiga makelele jukwaani, Huyu jamaa bwana. Hako kacheo alikozawadiwa na wachagga kanampa kiburi , hajui muda si mrefu watamfukuzia mbali, chezea Mtei wewe..!!!

Utaielewa chadema na kama eamua kujitoa akili kitaeleweka tu,chezea chadema wewe!!!
 
Wenzake wanatumbua pesa za ruzuku ye anahangaika kupiga makelele jukwaani, Huyu jamaa bwana. Hako kacheo alikozawadiwa na wachagga kanampa kiburi , hajui muda si mrefu watamfukuzia mbali, chezea Mtei wewe..!!!

We hujawaona hao wachaga ili Wakupe hako kacheo?au uende kwa waha wakupe ili ufanane na huyu mw/?
 
Inapotokea mtu akaleta usaliti dhidi ya ukombozi huu simuelewi! Kwamba afanye ivyo kugawanya nguvu ya pamoja ya ukawa na chadema (on it's owm initiatives), ili magamba yarudishe tena mitandao yao ya ufisadi na vyeo vya kupendeleana serikalini? Ehee Mungu wangu aishie atashughulika naye!
 
Hivi ni lini naibu katibu mkuu wetu wa Zanzibar Ndg. Salum Mwalimu ataanza ziara za kukijenga chama chetu huko upande wa pili wa muungano (nchi ya Zanzibar)??

hivi zenji kutokana na jiografia yake, zinahitajika Siku ngapi kufanya mikutano? umbea wako peleka Lumumba buku 7
 
Naona Lumumba mna wewe seka. Hio ndioChadema. Na huyo ni mgeni tu ndani ya chama. Lakini shazi hilo. Cdm noma.
 
Back
Top Bottom