CHADEMA waumbuka mahakamani

CHADEMA waumbuka mahakamani

Mkuu umeongea jambo la maana sana.Tatizo la vichwa vilivyopo Lumumba IQ zao ni ndogo zaidi ya ubongo wa kiroboto!
Wanadai CHADEMA imekufa, mara itakufa,kinachonishangaza ni kuona watu wanaopigana na CHADEMA kila kukicha, wakati huohuo eti imekufa,so they are fighting a dead person!SHAME ON THEM!CHADEMA inazidi kuimarika zaidi na zaidi, ndicho kinachowachanganya na kuamka kila siku na propaganda na mbinu mfu za karne iliyopita!

Mkuu ulichokiandika hapo kwenye bluu, kinauhusiano wa karibu na sana na ulichokiandika hapo kwenye nyekundu..!!

Hakika ni punguani pekee anayeweza kukusanya nguvu kupigana na mfu Na hili ndio sababu wanaccm wengi wanaitwa "Misukule" humu ndani na wao kuona kama wanatukanwa kumbe tunawapa sifa yao tukuka. Maana itakuwa ni matusi ya hali ya juu kwamba Binadamu mwenye akili timamu unaweza kupambana na marehemu ni ujuha wa hali ya juu otherwise uwe na ubongo wa kiroboto kama unavyodai

BACK TANGANYIKA
 
Kama kwako hili si la maana waachie wenzio wanaoona la maana. Chadema waliona la maana ndiyo maana walitafuta mawakili mahiri, walienda mahakamani, kuliwekea zuio
B.G Tantawi wewe ni mmoja wa mazwazwa aliyoyasema mwanachma mahiri wa cdm. Leo ndo nimegundua toka kwako MAZWAZWA ni wapi. Yaani CDM hawakutumia IQ kwa swala lakwenda mahakamani au uzwazwa unakusumbua!!!!!!!!!
 
unapotaja chadema, unamaanisha wasanii
 
Ni hatari na Tishio kwa Udhalimu wenu mnaopanga kila kukicha.Mliona kila kona mnakabwa na Idara ya Ulinzi ya CDM chini ya Lwakatare, na kwa kushirikiana na WASALITI mkaamua kufanya kitu cha kipumbavu kuwahi kutokea.Case ya Ugaidi mmeshindwa, na hii ya Conspiracy mtashindwa tu, Hamchomoki, na IDARA YA ULINZI YA CDM ni IMARA ZAIDI kuliko Mwanzo!

asante mkuu .
 
Jana ilikuwa siku ya ile kesi ya Lwakatare na Ludovick. Gazeti la Mtanzania limeanza kuchapisha mfululizo wa mahojiano liliyofanya na Ludovick kuhusu kuhusishwa kwake na mambo mbalimbali ikiwamo ugaidi.linaendelea jumapili ijayo. sasa chadema kwa hofu yao kuwa yawezekana ametoboa siri kuu ya uongo wa chadema kuwa mkanda wa video ya Lwakatare ulikuwa kweli na ni yeye aliurekodi, walikuwa wanaomba mahakama isuie gazeti la Mtanzania liache kuchapa mahojiano yake na Ludovick.

Hakimu, Mh. Mchauru akakataa ombi hilo na kusema kwa kuwa CHADEMA wanaongelea kuwa gazeti linachapisha mambo yanayomhusu mtuhumiwa namba mbili Ludovick na kwa kuwa wao siyo mawakili wa Ludovick, basi waache Ludovick mwenyewe alalamike kwani anao mdomo. na akasema anawaekeza kuacha kuingilia mambo ya mtuhumiwa namba mbili,Ludovick kwani wao siyo mawakili wake.
Ludovick alipoulizwa kama ana la kuongea, hakuongelea mambo ya gazeti, jambo ambalo liliwaumbua sana upande wa Lwakatare. hakika iko siku uongo wao utaanikwa tu.

wewe pimbi kweli kasoro mkia!!
 
swali dogo tuu kama chadema sio mawakili wa ludovick walipataje mwanya wa kuanza kuongea na hakimu Mh Mchauru???? na haya hakimu aliyasema wapi?
 
naona wewe unatamka watu waanze kuuliza yule aliye ampa kuwa ana ushahidi duniani na mbinguni aitwe apeleke sijui atasemaje, tulia bwana mdogo ngoma ya ccm na cdm ngumu na kwa uhalisia ccm wameshindwa.
 
Ukiangalia kwe YOU TUBE ,yan CDM wanapanga kuuwa mwandishi kabisa,ukitaka kuona video andika LWAKATARE kwenye YOU TUBE inakuja,ndio maana sasa media imewasusa CDM
 
naona wewe unatamka watu waanze kuuliza yule aliye ampa kuwa ana ushahidi duniani na mbinguni aitwe apeleke sijui atasemaje, tulia bwana mdogo ngoma ya ccm na cdm ngumu na kwa uhalisia ccm wameshindwa.

Hao mbona wengi sana, wengine walisema wanaushahidi wa waliolipua bomu Arusha wanasubiri waitwe wautoe. Na hao tutasemaje?
 
Wewe ukiona ni dogo kwa wengine ni kubwa.hupendi pita hivi
 
Back
Top Bottom