Chadema ni mpango wa shetani
Magamba ni mpango wa vijimiungu
Chadema ni mpango wa shetani
Habari ya mwaka juzu unaileta leo ya tija gani?
Mods pelekeni jalalani hii.
Chadema ni mpango wa shetani
ndio maana nasema kila siku humu kuwa chadema kimejaa madikteta kabisa!
Lilipo fungiwa gazeti la mwana walipiga kelele kweli!
Leo hii kwa hofu ya kuumbuka wanaomba mahakama wazibe midomo wahariri!
Hahaha ukweli lazima ujulikane tuu!
Hawa ndio huwa wako msatari wa mbele kusema wenzao wana zuia uhuru wa vyombo vya habari!
Mwaka juzu ndio nini wewe mburula?
Habari ya mwaka juzu unaileta leo ya tija gani?
Mods pelekeni jalalani hii.
Mmmh acha kujifanya hujui kusoma! Huoni chadema wanataka kukandamiza vyombo vya habari baada ya kuona wamelemewa? Judge kawaweza kweli!
Hawa ndio kila Leo huwanyooshea wenzao vidole kuwa wana kandamiza vyombo vya habari!
Yericko,
Ni kweli jambo hili limetokea jana mahakamani.sijui kwa nini unasema ni la mwaka juzi. ingawa naona mwandishi ana romanticise.
Nyie ndio punguani kabisa mnadhani sisi hatujui mpango mlionao ninyi maccm dhidi ya Chadema kuhusishwa na ugaidi? Mbona hili liko hadharani na kila mtu anajua, Haujiulizi kwanini. wakati huu kesi ikiendelea wamejitokeza kina Mchange wakishadidia juu ya mauaji au kifo cha Wangwe wakati jambo hilo lilishatolewa uamuzi na mahakama na mshukiwa alifungwa jela na kutoka baada ya kukamilisha hukumu hiyo.? Hivi hujiulizi kwaninj ktk kipindi hiki kesi ikiendelea Mwenyekiti wa ccm na mmiliki wa Startv alikutana na Deus Mallya (Mfungwa aliyemaliza kifungo chake kwa kesi ya Wangwe) Na ndani ya muda flani baada ya kufanya kikao na Diallo Deusi Mallya alikuja mbio hapa jamvini na kuanzisha thread isemayo...,
Wakati wa mimi kusema umefika",
Thread husika bado iko hapa jamvini licha ya mwanzisha mada kutosema chochote mpaka sasa pamoja na kudai kuwa wakati wa yeye kufanya hivyo umefika. Kila mtu anatambua kuwa Ni marufuku kuandika jambo linalohusiana na kesi iliyoko mahakamani, Sasa kama sheria hiyo imefutwa kwaajili ya watu flaniw kutimiza malengo yao hilo sisi tunamwachia Mungu. Ila tunakumbuka na Dunia nzima inajua kuwa Gazeti la M.w.a.n.a.H.a.l.i.s.i lilifungiwa na mpaka leo halijafunguliwa baada ya kuandika kile kilichodaiwa kuwa "kesi iliyoko Mahakamani" sasa kumbe Sheria hiyo inaangalia watu...kwamba hawa ni weupe, Ruksa na hawa ni weusi,Marufuku!!!!!.....Hawa ni wapinzani Marufuku...na hawa ni watawala, Ruksa.....!!!!!
Ila aishivyo Mungu yule ambaye anamwesabia haki mwenye haki na kumuhukumu yule Muovu kwa uovu wake tayari anajua mkasaji now nani.
Tena Watanzania bado tunakumbuka kwamba kuna watu walituahidi Chadema "itakufa" kabla ya uchagu wa mwaka 2015. Wengine walikwenda mbali zaidi na kudai itakufa kabla ya mwaka 2013 Na kinyume chake Chadema inaonekana kuimarika tofauti na matarajio yao Uchaguzi wa chama hicho uliofanyika nchi nzima ni kielelezo tosha kwamba chama kiko tayari kuingia Ikulu sehemu ambayo mahafidhina yanakesha usiku na mchana kuhakikisha hilo halitokei
Na bado titashuhudia mengi ila la kujivunia ni kwamba watanzania wa leo sio wale wa miaka kumi,ishirini iliyopita Inahitajika propaganda za hali ya juu ili kuwarubuni...
BACK TANGANYIKA
Chadema mtakoma mwaka huu
Kimahakama,hilo ni jambo dogo sana. Hukupaswa hata kuja kuliandikia uzi.
Chadema mtakoma mwaka huu
Utumbo ni upi sasa, na kwa nini chadema wanakuwa na hofu Ludovick anapoongea na media? wanaficha nini?
Jana ilikuwa siku ya ile kesi ya Lwakatare na Ludovick. Gazeti la Mtanzania limeanza kuchapisha mfululizo wa mahojiano liliyofanya na Ludovick kuhusu kuhusishwa kwake na mambo mbalimbali ikiwamo ugaidi.linaendelea jumapili ijayo. sasa chadema kwa hofu yao kuwa yawezekana ametoboa siri kuu ya uongo wa chadema kuwa mkanda wa video ya Lwakatare ulikuwa kweli na ni yeye aliurekodi, walikuwa wanaomba mahakama isuie gazeti la Mtanzania liache kuchapa mahojiano yake na Ludovick.
Hakimu, Mh. Mchauru akakataa ombi hilo na kusema kwa kuwa CHADEMA wanaongelea kuwa gazeti linachapisha mambo yanayomhusu mtuhumiwa namba mbili Ludovick na kwa kuwa wao siyo mawakili wa Ludovick, basi waache Ludovick mwenyewe alalamike kwani anao mdomo. na akasema anawaekeza kuacha kuingilia mambo ya mtuhumiwa namba mbili,Ludovick kwani wao siyo mawakili wake.
Ludovick alipoulizwa kama ana la kuongea, hakuongelea mambo ya gazeti, jambo ambalo liliwaumbua sana upande wa Lwakatare. hakika iko siku uongo wao utaanikwa tu.
lwakatare ni mtu hatari sana., hatakiwi kukaa uraiani. anatakiwa akae jela tu