CHADEMA wathibitisha fedha za Bunge zilitumwa tangu September 20, wamedai hazikuwa na maelezo

Hizo hela zilikuwa zinapigwa Na ile team iliyoko Nairobi...Msigwa katika mashavu Na kanawiri usipime

Wakati mwingine muwe mnatumia akili kidogo,huyo Msigwa anazichotaje pesa za hospitali wakati kwanza bado wanadaiwa na hospitali??

CCM Hamna ubinadamu kabisa kabisa.Chama kilifufa na aliyekianzisha ndiyo sababu kimakuwa Chama Cha Mauaji
 
SWIFT inaweza kutumwa bila maelezo? Unawezaje kutransfer fedha kwenda nje ya nchi bila kuwa na maelezo? Transaction inakuwa haina narration? Transaction inakosa details za mtumaji? Tukubali kwamba Chadema walikurupuka kulishutumu Bunge huku wakiwa hawana details za kutosha. Kusema kuwa fedha hazikuwa na maelezo huo ni uongo wa kiwango cha juu.
Unawalaumu vipi chadema kwa hili kwani hela iliingia kwenye akaunti yao? chadema wangejuaje kama kuna hela imepelekwa hospital kama sio kwa kupata official copy ya documents za pesa kutumwa? kitu ambacho katu bunge hawakuwapatia copy chadema! na je unajuaje kama narration ilikuwa imejieleza vya kutosha? kiasi cha mhasibu wa Nairobi Hospital kujua kuwa hiyo ni ya matibabu ya Lissu? Mbona mpaka sasa Bunge hawajatoa document yoyote kuthibitisha kuwa pesa ilitumwa zaidi ya kuandika kale kabarua ka mwendo kasi!
Halafu ni Hospital ndo wamesema pesa hazina maelezo! 'wamepokea pesa kutoka Tanzania basi' hayo ndo hospital wamesema! na ina maana ndo detail za transfer hizo

We unasema Chadema walikurupuka kulishutumu Bunge huku wakiwa hawana details za kutosha details wangezipata wapi wakati bunge hawakuwapatia?? ulitaka waote kwamba bunge limetuma hela? basi si wangewaambia hata hospital kwamba wametuma hii nayo haikufanyika!! halafu bado unawalaumu chadema,

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!!

Maelezo ya kutuma pesa lazima yajieleze kinagaubaga! ila kama barua yenyewe ya bunge kujibu press release ya chadema ndiyo ile imeandikwa kimwendokasi mwendokasi sitashangaa kama pesa zilitumwa kienyeji enyeji maana hiyo ndiyo namna taasisi nyingi za serikali zinaendesha mambo yake!
 
Hivi umeelewa wasilisho? tunaambiwa fedha imetumwa Agosti 20, wakati tukio la kupigwa Risasi Lissu wala halijatokea.
Anyway, tuchukulie kwamba ni typo. sasa hizo fedha kama zimelipwa Hospitali, Msigwa anazipataje? tunaidhalilisha GT forum.

Usijali.

Mambo mengine humu huwa ni changamsha genge tu.

Unasema hovyo...watu wanatokwa povu...unacheka....siku inasogea mbele.

Not everything is meant to be read too much into it.
 
Kukurupuka kwa kiwango cha Phd! Unatuma milioni 43 bila kuambatanisha maelezo ya kutosha kuhusu pesa hizo wala kuwataarifu wahusika Chadema au wana familia kwamba pesa kiasi gani zimetumwa na zimetumwa wapi! Tanzania ya viwonder katika ubora wake!
Hayo ni maneno ya kutunga ili kuepuka aibu ya alichokusema mwenyekiti wetu....ifike wakati tuwe wakweli tumezoea kudanganywa.
 
SWIFT inaweza kutumwa bila maelezo? Unawezaje kutransfer fedha kwenda nje ya nchi bila kuwa na maelezo? Transaction inakuwa haina narration? Transaction inakosa details za mtumaji? Tukubali kwamba Chadema walikurupuka kulishutumu Bunge huku wakiwa hawana details za kutosha. Kusema kuwa fedha hazikuwa na maelezo huo ni uongo wa kiwango cha juu.

PESA ambazo zimeenda siku 14 baadae?
Anyway tumwachie Mungu
 
Wakati mwingine muwe mnatumia akili kidogo,huyo Msigwa anazichotaje pesa za hospitali wakati kwanza bado wanadaiwa na hospitali??

CCM Hamna ubinadamu kabisa kabisa.Chama kilifufa na aliyekianzisha ndiyo sababu kimakuwa Chama Cha Mauaji
Mkuu usiwalaumu hao we hujui kuwa hata kufikiri kwao ni kwa maagizo toka juu? We hushangai Jaji mkuu, Msemaji wa Serikali, CDF, Wakuu wa Wilaya na wengine wengi wanaongea lugha moja yaani wamekaririshwa balaa!
 
SWIFT inaweza kutumwa bila maelezo? Unawezaje kutransfer fedha kwenda nje ya nchi bila kuwa na maelezo? Transaction inakuwa haina narration? Transaction inakosa details za mtumaji? Tukubali kwamba Chadema walikurupuka kulishutumu Bunge huku wakiwa hawana details za kutosha. Kusema kuwa fedha hazikuwa na maelezo huo ni uongo wa kiwango cha juu.
Kweli kabisa. Bila kujaza information kwenye fields zote za SWIFT, fedha hiyo haiwezi kuwa swifted nje ya nchi. Maelezo yote muhimu kuhusu pesa hiyo yamo kwenye hizo fields. Kweli chadema wawongo, eti pesa ilitumwa bila maelezo yo yote. Utadhani hiyo pesa ilitumwa ikiwa cash money.

Ndiyo maana jasho lilikuwa linamtoka. Atasingizia tofauti ya hali ya hewa ya Nairobi na ya Dar lakini mbona wale wakanada wa Barrick Gold Mines hawakutoka jasho walipofika Dar?

Jamani haya mambo yako kwenye vinasaba (genes). Msukuma ukimtuma akupelekee pesa sehemu fulani, wala usiwe na wasi wasi ataifikisha salama. Ila ukamtuma msukuma ampeleke mke wako sehemu fulani, na hasa kama mke wako ni mweupe, hapo umeula wa chuya. Kwa mchaga ni kinyume chake - mke atamfikisha salama salimini lakini pesa sahau kabisa. Hii ni nature tuliyoumbiwa na mwenyezi Mungu. Hatuwezi kuibadili isipokuwa kuchukua tahadhari.
 
Jamani hebu hakikisheni vizuri, the banking procedures nowadays requires and TT will have details of the reasons for the transfer. Also it will have all details of the sender and receiving party.
 
SWIFT inaweza kutumwa bila maelezo? Unawezaje kutransfer fedha kwenda nje ya nchi bila kuwa na maelezo? Transaction inakuwa haina narration? Transaction inakosa details za mtumaji? Tukubali kwamba Chadema walikurupuka kulishutumu Bunge huku wakiwa hawana details za kutosha. Kusema kuwa fedha hazikuwa na maelezo huo ni uongo wa kiwango cha juu.
Ni kweli kabisa Mkuu. Ingawa kwa upande wa pili ni ngumu kumeza mapungufu yao.
 
Mnakurupuka kutaka kuilaumu Chadema wakati chanzo cha habari hii si Chadema! Dah! Sasa kama zingekuwa na maelezo kwanini tena hii hospitali wafuatilie benki!?

“Wamenieleza kuna fedha zimeingizwa kutoka Tanzania ila hazina maelezo ndiyo wanafuatilia benki,” amesema ofisa huyo.

Kweli kabisa. Bila kujaza information kwenye fields zote za SWIFT, fedha hiyo haiwezi kuwa swifted nje ya nchi. Maelezo yote muhimu kuhusu pesa hiyo yamo kwenye hizo fields. Kweli chadema wawongo, eti pesa ilitumwa bila maelezo yo yote. Utadhani hiyo pesa ilitumwa ikiwa cash money.

Ndiyo maana jasho lilikuwa linamtoka. Atasingizia tofauti ya hali ya hewa ya Nairobi na ya Dar lakini mbona wale wakanada wa Barrick Gold Mines hawakutoka jasho walipofika Dar?

Jamani haya mambo yako kwenye vinasaba (genes). Msukuma ukimtuma akupelekee pesa sehemu fulani, wala usiwe na wasi wasi ataifikisha salama. Ila ukamtuma msukuma ampeleke mke wako sehemu fulani, na hasa kama mke wako ni mweupe, hapo umeula wa chuya. Kwa mchaga ni kinyume chake - mke atamfikisha salama salimini lakini pesa sahau kabisa.
 
fedha+pic.jpg

Ofisa Kitengo cha Habari na Itikadi wa Chadema, Hemed Ali amesema Hospitali na Nairobi nchini Kenya imethibitisha kupokea fedha kutoka Tanzania lakini zikiwa hazina maelezo.

Jana ofisi ya Bunge ilitoa taarifa kuelezea mchakato wa utumaji wa fedha hizo kiasi cha Sh 43 milioni ikisema kuwa zilitumwa tangu September 20. Ofisi hiyo ilikuwa ikifafanua taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyewaambia waandishi wa habari kuwa alikuwa hajapata mchango huo wa wabunge.

Ali aliyepo Nairobi amesema amethibitishiwa na Hospitali ya Nairobi kupokea fedha hizo kutoka Tanzania ingawa kulikuwa hakuna maelezo zaidi.

“Wamenieleza kuna fedha zimeingizwa kutoka Tanzania ila hazina maelezo ndiyo wanafuatilia benki,” amesema ofisa huyo.

Mwananchi..
Serikali yetu haina wataalamu wa fedha kujua kanuni za transaction?!
Kwanza uongozi wa hiyo hospital ni waungwana sana kukubali kuwa pesa imeingia, ilifaa wakae kimya ili huyo aliyezituma kama anatega bomu la kigaidi athibitishe alimtumia kwa maelekezo ni za nini.

Hivi mtu akikosea kutuma m pse, tigo pesa au airtel money ikaenda kwa asiye mlengwa naye akanyamaza utampeleka mahakamani?
 
Ndugai nia na malengo yake hayakuwa na lengo zuri hata kidogo, utatumaje pesa bila maelezo ya kujitosheleza?! Pesa zimechangwa tar 8/9 zinakuja kutumwa tar 20/9! Nia ma malengo ya huyu Mh hayakuwa kuokoa uhai wa Mh Lissu bali ni kuona Lissu akipotea katika ulimwengu wa kimwili, lakini Mungu siyo mwanadamu uwezo na nguvu zake ni za ajabu sana, hata watesi wake wanashangaa kuona Mh Lissu yuko hai.
Namtetea hizo pesa hazikuchangwa cash. Zilikatwa. Hivyo ukusanyaji wake na transfer kuchukua muda huo ni sawa. Tens wamejitahidi. Isitoshe zilikuwa zinatumwa nje ya nchi. Process ya kutuma nje ya nchi inachukua muda
 
Hizo pesa zilitumwa directly kwenye account ya hospital na zilitumwa juzi kati,yaani karibu wiki mbili baada ya lisu kupigwa risasi,

zilikuwa bado zinafanya nini kwa mda wote huo wa wiki mbili?
 
Ndiyo wale wale MAZWAZWA wa Lumumba. Sasa kama kuna ushahidi wa Chadema kupewa taarifa kwamba pesa zilitumwa kwanini washindwe kuuweka hadharani kama ni email, text message au simu? Acha kukurupuka na kuandika pumba.

Na huyu wa hospitali adanganye ili iweje!? “Wamenieleza kuna fedha zimeingizwa kutoka Tanzania ila hazina maelezo ndiyo wanafuatilia benki,” amesema ofisa huyo.
Inawezekana hujawah mtumia mtu pesa nje ya nchi tena nyingi
Kwa wenye uzoefu wa utumaji wa pesa nje ya nchi tunajua hizo ni njia za kuficha aibu hyo haiwezi tokea ukaweka pesa nyingi hvo bila maelezo....na siyo kila mtu anaewaleza ukweli au kutokubaliana na hoja zenu ni ccm...fikra huru humweka mtu huru.
 
Hahahahahahaha lol! Acha kukurupuka wewe na kutaka kujifanya unajijua dah! Wanaosema ni hospili na si chadema. CCM wameshindwa kuweka ushahidi wa kuonyesha kama waliitarifu familia au Chadema lakini kwa akili yako finyu bado hutaki kuelewa! Kweli wewe ni ZWAZWA mwingine na kwa hizi pumba ulizoandika hapa leo umeshaingiza buku 7 zako!

Msemaji wa hospitali kasema hazina maelezo, lakini kwa chuki zenu za kutisha wa kulaumiwa ni Chadema! Hahahahaha! Tanzania ya MAZWAZWA!

Poleee kujitahidi kuishi kwa kutegemea siasa...ni vyenye tu hujui
 
Hizo hela zilikuwa zinapigwa Na ile team iliyoko Nairobi...Msigwa katika mashavu Na kanawiri usipime

Msigwa anapigaje fedha asizokuwa na taarifa nazo, fedha ambazo zimeingia katika akaunti ya hospitali bila maelezo kwa walengwa?
Labda tuseme waliozipeleka ndio waliokuwa na mpango wa kuzipiga, kwa kuwa wao walikuwa na uwezo wa kuzidai kwa kusema wametuma kwa makosa?
Pia waliotuma walikuwa katika nafasi ya kuzisubiri (zirejeshwe kwa ALIYEZITUMA ) kwa kukosa maelezo
 
Kwa taarifa yako mimi nayoyaandika ni kutokana na mapenzi tu na nchi yangu. Sijawahahi kupata hata senti moja tangu niingie humu wala sina mpango huo. Kuipigania future ya nchi yangu sihitaji kulipwa na yeyote yule. Acha UZWAZWA.

Poleee kujitahidi kuishi kwa kutegemea siasa...ni vyenye tu hujui
 
Back
Top Bottom