CHADEMA watapata wapi fedha 2020?

CHADEMA watapata wapi fedha 2020?

Wivu binafsi kwani chama cha chadema kimeanzishwa mwaka 2015? Chaguzi zilizo pita fedha walikua wanapata wapi? Tuanzie hapo pili.

Kabla aujapost upuuzi kama huu anza kujiuliza we ni nyani au Harmorapa?acha kiki za kishamba
We mbona mkali
Sioni kama kuna umuhimu wa kumtukana mwenzako
 
Mshindo mkubwa wa mgogoro ndani ya chademaa mtausikia hivi punde, chanzo Mzee ndesa.
 
Back
Top Bottom