CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

Hii serikali inajione ndio yenyewe hakuna wengine hata kusema neno, na tunakoelekea hakuna mtu kuponda serikali!
 
Chadema kimekuwa chama cha matapeli na wapga dili kimewauma 7babu JPM amewasambatisha wafadhili wenu ambao ndio mafisadi wakuu hapa nchini na uzuri woote wameshakamatwa, CHADEMA haina tena agenda yani Lowassa wamtukane miaka 8 leo hii watuambie ni msafi ni tapeli tu na mnafiki ndio atawakubali CHADEMA, hiki chama hakikubaliki tena ni aibu na fedhea wahuni kuwachezea watu akili JPM nakuomba usiwasikilize kamwe hawa matapeli uzuri watz tumewafahamu kwamba ni wachumia tumbo na Vilaza, MAGUFULI TUNA MUUNGA MKONO KWA NGUVU ZOTE.
Matapeli endeleeni kula matapishi yenu ya Lowassa, Dr Slaa pekee ndio mmwanasiasa mkweli wengi wenu mliobaki wote hamjui mnacho kifanya ngoja Lowassa awatumie kama TP. Ujasiri wenu nyie Chadema imekuwa aibu yenu daima.
Huu mtego kamwe hamta ponea popote zaidi ya kusambatika.
 
Mbowe Mungu ampe maisha marefu zaidi ni kiongozi wa upinzani wa kipekee sana mpaka kuna huko kwenye chama cha kijani wasikia jina la Mbowe wanatetemeka sana
 
Mkishatoka oparesheni UKUTA anzisheni oparesheni UKUDA maana nyie ni wakuda balaa hamjielewagi sijui nani aliwaroga, itabidi nimuite mshenga awaaombee

Eti vinasema mahakama inaingiliwa tena vinasema wanasheria wao waangalie mambo ya kisheria hivi hayo mambo ya kisheria vitayapeleka chooni sijui, hii ni paradox
 

Siamini Macho yangu. Leo hii chadema imekua mtetezi wa wakwepa kodi? Naona mmepaniki kwa hii kasi ya Magufuli kajipangeni upya mnazidi kushuka thamani na kuboa. Kweli Lowasa kawanunua mpaka akili
 

Siamini Macho yangu. Leo hii chadema imekua mtetezi wa wakwepa kodi? Naona mmepaniki kwa hii kasi ya Magufuli kajipangeni upya mnazidi kushuka thamani na kuboa. Kweli Lowasa kawanunua mpaka akili

Umeelewa maana ya UKUTA au na wewe umekurupuka kama Magufuli?
 
Hayaaa ... Kushoto ... Kuliaa ... Nyuma geuka ... Ayaaaa ... Makamanda ... Mnaniangusha ... Kamanda ... Haogopi ... Virungu ... Wala ... Mtutu ... Sasa ... Nyie ... FFU ... Wakiwajambisha ... Kidogo ... Tu ... Mnafyata ... Mkia ... Sasa ... Huo ... Ndio ... Ukamanda ... Gani ... Ole ... Wenu ... Mbadilishe ... Tena ... Tamko ... Lenu ... Kama ... Lile ... Picha ... La ... Kihindi ... La ... UDOM ... Acheni ... Upuuzi ... Wakutufanya ... Watanzania ... Kama ... Wajinga ... Mwenye ... Masikio ... Na ... Asikie ... Na ... Mwenye ... Macho ... Na ... Aone ... Tunaingoja ... Siku ... Hiyo ... Kwa ... Hamu ... Washa ... Washa ... Na ... Virungu ... Vikitumika ... Msilaumu ...
 
Sina uhakika kama chadema ina washauri wenye upeo mkubwa kushauri na kitengeneza mbinu mbadala kimkakati. Hii ni Habari ya kusadikika. Hili ni tamko dhaifu kutolewa na mtu mfano wa Mbowe
 
Mbona mnaweweseka sana?
Sina uhakika kama chadema ina washauri wenye upeo mkubwa kushauri na kitengeneza mbinu mbadala kimkakati. Hii ni Habari ya kusadikika. Hili ni tamko dhaifu kutolewa na mtu mfano wa Mbowe
 
Dah hizi operesheni za ajabu ndizo ambazo zinafanya ruzuku ipigwe tu na watu wa makao makuu...

Ni lini na sisi tutanufaika na RUZUKU ya chama?. Kila kukicha operesheni za kipuuzi sasa eti UKUTA....dah shikishaneni ukuta wenyewe huko huku wilayani msije..
 
Yangu macho, sina tena hamu na UKAWA au CDM toka tushindwe uchaguzi wa mwaka jana, wengi wamekufa kwa kupigania haki CDM lakini hakuna anayewakumbuka hadi sasa, mimi sitahudhuria mikutano wala maandamano yoyote yale, nikifa au nikivunjwa miguu hakuna atakayenisaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…