CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

Baada ya mkakati wa kuviua vyama vya upinzani kupitia kofia ya UKAWA kilichobaki ni kuishi kwa upepo wa matukio tu. Makamanda amken usingizin tunasubir 'operation mpya' au mnatafuna ruzuku tu mkisingizia demokrasia inaminywa. Kweli 2020 tutamkumbuka sana Dr Slaa
 
Back
Top Bottom