Ili litimie lile nenoMada moja inatosha mzee, utaonekana Chizi sasa
Safi 🤝mbona Mimi chizi tayari makosa ya kiufundi hayo
Wabarikiwe sana hao wafanya vuruguDogo wanaofanya hizo vurugu wapo hhumo humo serikalini, hao chadema wanatumika kama kivuli ili wahusika wasionekane. Ila wavuruga wapo ndani na wanakomoana wenyewe kwa wenyewe, hata hio 7 saba waanzilishi ni hao hao.
Hii comment ina mantiki,logic,ukweli,uhalisia,mambo yalivyo na kilakitu.Dogo wanaofanya hizo vurugu wapo hhumo humo serikalini, hao chadema wanatumika kama kivuli ili wahusika wasionekane. Ila wavuruga wapo ndani na wanakomoana wenyewe kwa wenyewe, hata hio 7 saba waanzilishi ni hao hao.
Mmmhh, kama ni rahisi cdm kutumika na watu wa serekalini, kwanini hao watu wasitumie vyama vingine. Acha upotoshaji wa bei ya jioni.Dogo wanaofanya hizo vurugu wapo hhumo humo serikalini, hao chadema wanatumika kama kivuli ili wahusika wasionekane. Ila wavuruga wapo ndani na wanakomoana wenyewe kwa wenyewe, hata hio 7 saba waanzilishi ni hao hao.
udikteta ni gharama sana, sema ni ngumu kwa sie wa elimu mbali mbali kung'amua hiloHii serikali Kila kukicha inawaza tu namna ya kuikomoa Chadema. Sasa Chadema nao ni Wajànja kuwapiku wote walioko serikalini. Matamko Yao Free Tundu Lissu na Kàtiba mpya ni Sasa ni pasua kichwa serikalini.
Hivi ni kweli Kuna maandamano hiyo 7 7 au ni kumtia tu mtu hasara? Kule nje wamekaza kuhusu ICC na bado serikali haijakaa sawa maandamano ya 7 7. Mimi wakati mwingine nawaza tu ni kwa nini hii serikali isikubali hivi vichwa vyenye madini makubwa kuingizwa serikalini wakaisaidia nchi! Ukianza na Lissu, Heche, Mnyika, Brenda, Mahinyila, Lema nabii na wengine wengi utaona Hawa ndio wanaipeleka nchi mchamchaka. Tamko la mmoja asubuhi utakuta wale jamaa wa saluti Kila Kona.
Ila ni kwa ñini wasiseme poo Líssu akakaa pale kati wengine wapokee utàratibu namna ya kuishi bila kudokoa hazina!!
Subiri kwanza.Mmmhh, kama ni rahisi cdm kutumika na watu wa serekalini, kwanini hao watu wasitumie vyama vingine. Acha upotoshaji wa bei ya jioni.
Power struggle ndani ya mfumoHii comment ina mantiki,logic,ukweli,uhalisia,mambo yalivyo na kilakitu.
Sasa swali ni kwamba wanafanya hivyo kwa lengo gani?
Yatatokea madogo hawataki dharau za wazenji.I wish hayo maandamano yangetokea hiyo tarehe.