Kwa kuwa sera yao ni kupinga wananchi wasishiriki kujitolea katika shughuli za maendeleo, wakiongoza nchi itadoda kama Arusha
Mdau utasutwa kwa unafki shauri yako?Sasa CCM imeleta maendeleo gani au unaropoka kama mlevi wa mnazi?:A S-eek::A S-eek:Kwa kuwa sera yao ni kupinga wananchi wasishiriki kujitolea katika shughuli za maendeleo, wakiongoza nchi itadoda kama Arusha
Unajua chama kikiongozwa na muuza danguro usitegemee kuwa kitahamasisha maendeleo. Nchi ikiwa maskini ni mtaji kwake kwa vile idadi ya machangudoa itaongezeka ambao ndo mtaji wa biashara yake
Unajua chama kikiongozwa na muuza danguro usitegemee kuwa kitahamasisha maendeleo. Nchi ikiwa maskini ni mtaji kwake kwa vile idadi ya machangudoa itaongezeka ambao ndo mtaji wa biashara yake
Huwa mnalipwa shg ngap kwa thread?Kwa kuwa sera yao ni kupinga wananchi wasishiriki kujitolea katika shughuli za maendeleo, wakiongoza nchi itadoda kama Arusha
Kwa kuwa sera yao ni kupinga wananchi wasishiriki kujitolea katika shughuli za maendeleo, wakiongoza nchi itadoda kama Arusha
Kama kweli kweli CHADEMA watapinga michango lazima mwakani nipige kura kuwachagua maana michango ya mwenge imenichosha
Hakuna ulevi wala bange,chadema wanafiki.mmewapotosha wenzenu mkaunda ukawa,leo mnajifanya kuongea kwa niaba ya ukawa.
Huwa mnalipwa shg ngap kwa thread?
Kweli wanye degree waanze kufundisha primary labda mtabadilika muweze hata kujenga hoja.
kwa kuwa sera yao ni kupinga wananchi wasishiriki kujitolea katika shughuli za maendeleo, wakiongoza nchi itadoda kama arusha
Mdau utasutwa kwa unafki shauri yako?Sasa CCM imeleta maendeleo gani au unaropoka kama mlevi wa mnazi?:A S-eek::A S-eek: