CHADEMA watadumaza nchi

CHADEMA watadumaza nchi

Tunajua kuwa probably wewe ni kipofu, yaani huoni lami? huoni umeme? huoni shule za msingi na sekondari? huoni vyuo vikuu? huoni hospitali, zahanati? huoni maji?

Mfadhili mbuzi!
Hayo maneno yako au kuna sehemu unaigilizia huo umeme uko wapi wewe una data kweli?unajua Tanzania asilimia ngapi wana umeme?Hizo hospitali mwananyamala wamama wajawazito wasinge lala 2 kwenye kitanda.Au mwenzangu unajifanya kwenu masaki unatibiwa Trauma kule kwa dollar?Siku nyingine jiangalie kabla hujaandika wewe?
 
Kwa kuwa sera yao ni kupinga wananchi wasishiriki kujitolea katika shughuli za maendeleo, wakiongoza nchi itadoda kama Arusha

Kwamaana Ccm wamekomaza Wananchi kwa kipindi chote walichokaa madarakani
 
Kwa kuwa sera yao ni kupinga wananchi wasishiriki kujitolea katika shughuli za maendeleo, wakiongoza nchi itadoda kama Arusha

majina yenu nyie watetezi wa ccm huwa yananifurahisha sana
mochware
chuki
sumu
msalani
kitambi heshima
gsu
haya! Endeleeeeni wajemeni!
 
Kwa kuwa sera yao ni kupinga wananchi wasishiriki kujitolea katika shughuli za maendeleo, wakiongoza nchi itadoda kama Arusha

Mkuu,
Ninyi ndio mnaharibu reputation ya JF! Mnaleta mada zisizokuwa na maelezo wala vielelezo! Kwa taarifa yako, Arusha imepiga hatua kubwa sana kimaendeleo ukilinganisha na miaka ya nyuma! Mkopo wa ujenzi wa barabara za katikati ya jiji umesimamiwa vizuri na madiwani wa cdm, chenji iliyobaki ikajengea barabara ya km 2 kwa kiwango cha lami! Gari za taka zinapita mtaani kuulizia taka wakati hazikuwa zinaonekana kabisa. Hospitali ya Mkoa imekarabatiwa na ya Levolosi sasa inatoa huduma za kisasa kabisa za uzazi ikiwemo wodi mpya iliyojengwa! Mambo mengi yamefanywa ila kipofu ni kipofu tu, huwezi kuona! Ukiangalia maeneo yanayoongozwa na cdm utaifuta hii thread wewe mwenyewe!
 
Kwa kuwa sera yao ni kupinga wananchi wasishiriki kujitolea katika shughuli za maendeleo, wakiongoza nchi itadoda kama Arusha

Shughuli za maendeleo tuchangie za nini? Kwani kodi zetu zinafanya kazi gani? Mishahara yetu inakatwa kodi,kila tunachonunua kodi inakatwa,halafu mwehu kama wewe unakuja na utahira wako!
 
Kwa kuwa sera yao ni kupinga wananchi wasishiriki kujitolea katika shughuli za maendeleo, wakiongoza nchi itadoda kama Arusha

Maendeleo kama yapi?? Jukumu la nani kuleta maendeleo?? Kodi tunazolipa zinaenda wapi?
 
Unajua chama kikiongozwa na muuza danguro usitegemee kuwa kitahamasisha maendeleo. Nchi ikiwa maskini ni mtaji kwake kwa vile idadi ya machangudoa itaongezeka ambao ndo mtaji wa biashara yake
Hivi billicanas ni danguro?serikali inatoza kodi madanguro?.Unachokitetea hapa ni kitu cha ajabu sana kwamba watawala wapige fedha za uma halafu wananchi wajiletee maendeleo kwa kujitolea kama kiasi kinachiibwa na watawala ni kikubwa kiasi hiki kuna haja gani ya kujitolea? Halafu watu unaotaka wajitolee ndiyo haohao underpaid, mwl analipwa 28000/= kwa mwezi, mbunge 350000/= kwa siku na bado mbunge anathubutu kusema hazimtoshi.unataka wakashinde wanajenga barabara huo muda wa kufundisha na kupumzika utapatikana? kabla ya kutaka wananchi wajitolee keki ya taifa igawanywe vizuri, halafu hilo la kujitolea linaweza kufuata.
 
Kwa kuwa sera yao ni kupinga wananchi wasishiriki kujitolea katika shughuli za maendeleo, wakiongoza nchi itadoda kama Arusha
mochware = Mortuary, kimsingi wanao dumaza nchi ni ccm ambao wanatumia sehemu kubwa ya kodi za wananchi kwa kuziiba ,ie epa,richmond,escrow,rada. Na sterehe zao eg bajeti kubwa ya matumizi ya kawaida badala ya maendeleo,miposho ya ajabu ya vikao na warsha,makongamano na uhuni mwingine design hiyo.
 
Back
Top Bottom