Hongera Chadema![/QUOTE ]
Lakini tusisahau kwamba kati ya kata 22, CCM imezoa kata 17 na Chadema 5 !!!! Vilevile tusisahau kwamba, wakati wakazi wa Igunga vijijini hawana elimu wala hawakusoma ndo maana wameichagua CCM; kata za Iringa Mjini nao wameichagua CCM!!
unafikiri kwa kutumia *****alio acha ukuwadiHaya ingieni ndoa ya tatu, mkipenda msipende.
Imekuuma hee pole sana, na bado watu wanazidi kuamka mtakoma!!!!!!!!!Haya ingieni ndoa ya tatu, mkipenda msipende.