CHADEMA wapokea msaada wa milioni 400

CHADEMA wapokea msaada wa milioni 400

CHADEMA Makao Makuu,

kwa jinsi nisivyokua na shaka yoyote juu ya hekima na upeo wenu mkubwa wakutulia na kusoma mazingira ya kisiasa uzuri mpaka wengine wasioona mbali kuanza kuona kama vile hampo hai sana kisiasa, na hasa katika vipindi vya hati hati za CCM na serikali yake kutafuta KUKIIMARISHA ZAIDI CHAMA CHETU NA AZMA YA MABADILIKO KWA KUTUPITISHA KWENYE TANURI LA KESI ZA KUCHONGA KAMA ILE YA KAMANDA LWAKATARE, napata msukumo wa kutimiza wajibu wangu kukishauri chama changu kutumia sehemu ya hizi fedha (millioni 400) tulizozipata toka kwa mashirika rafiki nje ya nchi kuimarisha zaidi taasisi zetu za kichama kama vile BAVICHA, BAWACHA, M4C na uongozi wa chama mashinani ili kujiweka vizuri zaidi kushika dola kwa ridhaa ya umma wa Tanzania hapo 2015.
 
Mkuu Shumbushi, dah hapo penye wino mzito rangi ya damu ya mzee, hakika umeniacha sina mbavu na pengine wewe kunivurugia mlo wangu kabisa usiku huu kwa kuwa napata picha uliouchora hapo kwa ujumbe huu ... dahh....!!!!!!!!

Shonza kapishana na mungu.
Angezifaidije kwa wanawake na kwa vijana angeingia
 
Taswira,
Acha uwongo. Kama hujui kitu si lazima kujifanya mjuaji. Sabodo Kama alitoa fedha kwa malengo uliyotaja, weka hadharani 1) alikabidhiwa nani 2) alikabidhiwa tarehe ngapi?3) alikabidhiwa cheque na ngapi? 3) vyombo gani vya habari vilikuwepo wakati cheque inakabidhiwa na stori hiyo ilitoka kwenye gazette gani? WanaJF nimemwuliza maswali hayo kwa kuwa kwa spirit lie lie ya transparency, kila Sabodo alipokabidhi Cheque tulikuwa na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali. Aidha, kila Sabodo alipokabidhi na malengo ya msaada yalitolewa kwa vyombo vya habari vilivyokuwepo. Unapokuwa mwongo kwa kiwango hiki, ni dhahiri hata dhamira imekufa. Binadamu asiyejua na dhamira Hana tofauti na "'mnyama" kwa sababu ndiyo moja ya mambo yanayomtofautisha binadamu na 'mnyama! Ninawaheshimu sana vijana, ninawapenda wanaotoa ushauri mbalimbali, lakini spend mtu mwongo, kwa sababu, madhara ya uwongo ni makubwa sana katika jamii. Kama Taswira ni mkweli ataxia majibu ya hayo maswali ili aaminike mbele ya jamii. Sabodo yuko hai inakushinda nini kwenda kumwuliza, inakushinda nini kutuuliza Chadema Kama kweli ulna nia njema. Watanzania mpuuzeni huyo kwa kuwa ni mwongo aliyekubuhu.

QUOTE=Taswira;6002780]acha umbumbu kijana, Sabodo ametoa msaada mara ngapi wakawekeana mkataba?
Umeona zilipoelekea?

Haya sabado alitoa millon 400 kujenga chuo cha kilelea viongozi na vijana wa CHADEMA pale kibaha ..fedha zilitolewa mwaka 2010 hicho chuo umekiona?[/QUOTE]
 
Taswira,
Acha uwongo. Kama hujui kitu si lazima kujifanya mjuaji. Sabodo Kama alitoa fedha kwa malengo uliyotaja, weka hadharani 1) alikabidhiwa nani 2) alikabidhiwa tarehe ngapi?3) alikabidhiwa cheque na ngapi? 3) vyombo gani vya habari vilikuwepo wakati cheque inakabidhiwa na stori hiyo ilitoka kwenye gazette gani? WanaJF nimemwuliza maswali hayo kwa kuwa kwa spirit lie lie ya transparency, kila Sabodo alipokabidhi Cheque tulikuwa na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali. Aidha, kila Sabodo alipokabidhi na malengo ya msaada yalitolewa kwa vyombo vya habari vilivyokuwepo. Unapokuwa mwongo kwa kiwango hiki, ni dhahiri hata dhamira imekufa. Binadamu asiyejua na dhamira Hana tofauti na "'mnyama" kwa sababu ndiyo moja ya mambo yanayomtofautisha binadamu na 'mnyama! Ninawaheshimu sana vijana, ninawapenda wanaotoa ushauri mbalimbali, lakini spend mtu mwongo, kwa sababu, madhara ya uwongo ni makubwa sana katika jamii. Kama Taswira ni mkweli ataxia majibu ya hayo maswali ili aaminike mbele ya jamii. Sabodo yuko hai inakushinda nini kwenda kumwuliza, inakushinda nini kutuuliza Chadema Kama kweli ulna nia njema. Watanzania mpuuzeni huyo kwa kuwa ni mwongo aliyekubuhu.

QUOTE=Taswira;6002780]acha umbumbu kijana, Sabodo ametoa msaada mara ngapi wakawekeana mkataba?
Umeona zilipoelekea?

Haya sabado alitoa millon 400 kujenga chuo cha kilelea viongozi na vijana wa CHADEMA pale kibaha ..fedha zilitolewa mwaka 2010 hicho chuo umekiona?
[/QUOTE]

Mbona povu linakutoka hivyo, kuna usalama wa hizo fedha kweli?
 
Matumizi yake yamewekwa bayana hapo juu,hilo ulilolitaja wewe ni lako na kumbuka wameingia mkataba,mkataba ambao watatakiwa kuweka wazi matumizi ya pesa hiyo na nadhani haiwezekani wakafanya kinyume na mkataba waliousaini.
wewe umekuwa wa miaka ya 47? hao wataishia kuona risiti tu. niliwahi kuona chuo fulani wanaclear sheet kuwa hela zimenunulia mareagent na kadhalika, kumbe wapi, risiti tu lab hakuna kitu. chezea tanzania wewe na hasa kukiwa na chaga karibu.
 
Fedha ni chanzo cha migogoro na mifarakano ndani ya vyama!(Tawala na upinzani)Asilimia kubwa ya viongozi wengi katika vyama vyetu wapo kwa maslahi binafsi.Wakati mwingine hii misaada hugeuka fimbo ya kuulia vyama kwani msaada ukitolewa usiokidhi mahitaji tatizo ni wapi tupeleke kwanza!Kigoma,Arusha,Mtwara au Mwanza?Hapo ndipo mchezo utaanza.
 
Back
Top Bottom