Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,566
- 2,485
Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamedai kuwa wataendelea kuandamana kwenda Ofisini kwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Mbeya kwa lengo la kumpa ushahidi wa watu wanaodai ni askari wamehusika na tukio la kumteka na kumjeruhi Mpalukwa Nyagali, maarufu Mdude na kuwataka wamrudishe.
Soma Pre GE2025 - Sakata la kutekwa kwa Mdude, mzee afichua jinsi Polisi walivyomfuata kutaka awasaidie kumfanyia Ujasusi ili wampate
Soma Pre GE2025 - Sakata la kutekwa kwa Mdude, mzee afichua jinsi Polisi walivyomfuata kutaka awasaidie kumfanyia Ujasusi ili wampate