Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo John Heche ameonekana na viongozi wengine wa chama hicho wakiomba nafasi ya kuonana na jaji mkuu ili waweze kuzungumza nae, ombi hilo limeonekana kukataliwa na wahusika waliotakiwa kuwapa kibali viongozi wa CHADEMA.
Licha ya kukataliwa huko John Heche amesema kama hawataki tuonane na jaji basi tutawaacha wao wabaki na hiyo kesi.
Soma pia:
Jaji Hamidu Mwanga akataa kujitoa kwenye kesi ya CHADEMA
View attachment 3468211