CHADEMA wanadhani wakipandikiza vijana wa kihuni kuzomea ndio watashinda uchaguzi, ni mawazo muflisi, msidhani.kuwa hata vyama vingine haviwezi kufanya mbinu za kupanga watu wa kumzome Slaa au.Mbowe lakini je ndio siasa za kistaarabu hizi? ngojeni oktoba dawa yenu inachemka.
CHADEMA wanadhani wakipandikiza vijana wa kihuni kuzomea ndio watashinda uchaguzi, ni mawazo muflisi, msidhani.kuwa hata vyama vingine haviwezi kufanya mbinu za kupanga watu wa kumzome Slaa au.Mbowe lakini je ndio siasa za kistaarabu hizi? ngojeni oktoba dawa yenu inachemka.
Mungu yupi!?
Kweli CHADEMA mnaweweseka hebu itafute hiyo video tena uiangalie vizuri
Mwanasiasa mjinga pekee anaeogopa kuzomewa Zitto alikuwa pale na amezomewa akubali kuzomewa hata kama aliishia ndani ya gari.
Kwa hiyo Dkt mangungu unataka kusema kuwa chama Tawala CCM hivi sasa hofu yake iko kwa ACT maana hao wengine ni wa maonyesho? Unataka watu wenye akili waelewe hivyo?
kuzomea ni tabia ya kivuta bangi.na chadema kwao wameona hiyo ni sifa nzuri.nawahakikishia hakuna mvuta bangi atakayeingia ikulu.chadema ikulu mtaisikia tu.ngojeni muone mwaka huu mnabaki na wabunge wangapi.
http://sundayshomari.com/2011/11/01/zito-kufanyiwa-upasuaji/
Watu hawaelewi tuu, ila tokea Zitto aende India na kufanyiwa upasuaji wa kichwa kwa ile malaria yake ambayo amesema ilimsumbua miaka kumi kumejitokeza tofauti kubwa sana za tabia na utendaji wake.
Mkuu upasuaji wa kichwa usipokuwa makini unaweza kuacha nati kadhaa katika ubongo zikiwa sio sawa, ila kwa vile kuna watu wana mahaba niue waweza kukuta badala ya kumshauri arudi akachunguzwe tena wao wanaona kila afanyacho ni sawa.
Teeeeh,teeeeh,teeeeeh,mtwara hesabuni maumivu,ngome yenu ni mwandiga tu.Wew hujui kitu ukiachilia tabora sehemu nyingine ambayo ACT itakuwa na ngome kubwa ni huko mtwara
Wew hujui kitu ukiachilia tabora sehemu nyingine ambayo ACT itakuwa na ngome kubwa ni huko mtwara
kwa style hii mtakua wapinzani milele
Napenda sana uwa najiuliza tu majukumu mengine unafanya muda gani au unalipwa na Chadema.Siyo..past...ni post.
Angalia huu wastani wake wa kutuma post.
1) 4:19
2) 4:20
3) 4:22
4) 4:23
5) 4:24
6) 4:25
7) 4:27
8) 4:29
10) 4:32
Hii speed siyo mchezo.
Napenda sana uwa najiuliza tu majukumu mengine unafanya muda gani au unalipwa na Chadema.
Teh teh teh teh!!!Napenda sana uwa najiuliza tu majukumu mengine unafanya muda gani au unalipwa na Chadema.
CHADEMA WANAWEWESEKA
Baada ya ziara ya ACT Mbeya chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema chazidi kuweweseka huku ngome zao zikiwa zinavunjwa kwa siasa na hotuba safi za wana ACT.
Chadema wametengeneza kipande cha video kinachoonesha watu kuzomea, ila hakioneshi anazomewa nani ingawa wao wanadai ni Zitto.
Kwa mujibu wa Afande Sele ni kwamba hawakuwa na ratiba ya mkutano Tunduma hivyo yeye na Zzk hawakushuka ndani ya gari, kauli ambayo imethibitishwa na wana ACT wengine waliokuwa katika msafara huo.
Mwanahabari wetu aliamua kuwatafuta wakazi wa Tunduma mkoani mbeya na kuwahoji juu ya hili.
Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Mahenge Regan anadai wao ndio waliosimamisha msafara na kuomba wapatiwe hata neno moja, ndipo mwenyekiti wa ACT na katibu mkuu waliposhuka na kuongea machache kisha wakaondoka. Alipoulizwa kuhusu zomea zomea anasema kuna vijana wachache wa Chadema wakiongozwa na kada maarufu wa Chadema anayejulikana sana kwa jina Mdude Chadema ndio waliokuja na kutaka kuharibu ila Msafara ulikua ushaanza kuondoka.
Ikumbukwe mkakati wa zomea zomea Mbeya uliratibiwa na Mbunge wa Mbeya mjini Mbilinyi akisirikiana na Mary Mwanjerwa wa viti maalumu Ccm.
Kiongozi wa chama ACT Zitto amedai kutokushuka Tunduma na video hizozinazosambazwa ni muendelezo wa siasa chafu za Chadema.
Ikumbukwe pia moja ya mtihani waliopewa watangaza nia na wabunge wa Chadema ni kuhakikisha Ziara za ACT hazifanikiwi ili wapitishwe na chama kuelekea Uchaguzi mkuu, hili limeelezwa na kada mmoja wa Chadema aliyeombwa kuhifadhiwa jina kwa usalama wake.
Wananchi wa mkoani Mbeya wamesikitishwa sana kuhusishwa na uhuni huu unaoratibiwa na mbunge wao na kuonesha kuchoshwa na tabia zake za kuwafanya vijana wao misukule huku yeye anatengeneza pesa.
Mwandishi Huru
Mbeya