Chadema wanawasha moto arumeru leo, ffu kila kona

Kaka yangu yupo kule ananiambia pamepooza sana, CDM wamezomewa katika baadhi ya mitaa, hali si shwari. Taarifa zaidi zitawajia.

ndoto hizo,mbona kakako kaniambia upo polis unatoa taarifa ya kuporwa kipenzio na rijal wenu ccmagambas aka m------.
 
Im swalowing ma saliva! Watu wote wa Arumeru walikua ccm. Ila leo viongozi wao wanashinda vikaoni, wakijiuliza imekuje jamani? Nimemckia mwenyekiti wa kata moja akitamka kwenye kijiwe ' sawa bwana acha cdm ichukue manaana sisi hatuelewi awa wakubwa wanafanya nini? ' now, wht do u expect? Haya!
 
leo cdm wanazindua kampeni zao Arumeru,nw wapo maeneo ya USA krb na chuo kikuu Tumaini Makumira,FFU kila kona ya USA,vijana wa chadema wamejipanga kila kona yani ni chamrachamra za kutosha,kwa mbali naona helkopta ya chadema inapita juu,toyo zote zimeamia cdm,kwa mbali naona gari ya wazi yenye bendera ya cdm imebeba WAZUNGU nao wapo kwenye kampeni. Kwenye daladala wakina mama wanasema hawawezi chagua mtu aliyewekwa kwa maslai ya wengine.Tutazidi kujuzana zaidi bse nipo hapa chuo ila nw naelekea twn.haujambo?MUNGU ATUKUZWE,hbr ya uzima wako?wewe ni mzma kbs?

Asante mkuu,maana wengine tupo interior hata star tv mzozo,ila hao vijana wahakikishe wanapiga na kulinda kura wasiwape nafasi haya majizi magamba na tume ya kuiba haki yao,kiukweli yameshikwa pabaya!wezi wakubwa!ukipata nafasi rusha na baadhi ya pics tuone mambo yanavyoendelea!
 
Kaka yake na Kakakuona nakunywa nae viroba hapa ......chochote atakachowaambia mjue viroba at work...........
 
Haw polisi mbona wananiogopesha hivi?utadhani kuna vita!wakuu huku ni shamrashamra za kustajabisha kabisa yani kama hawa wote watapiga kura nafkiri ccm (mafsadi)itakuwa ndio mwisho wao huku . A city
 
Im swalowing ma saliva! Watu wote wa Arumeru walikua ccm. Ila leo viongozi wao wanashinda vikaoni, wakijiuliza imekuje jamani? Nimemckia mwenyekiti wa kata moja akitamka kwenye kijiwe ' sawa bwana acha cdm ichukue manaana sisi hatuelewi awa wakubwa wanafanya nini? ' now, wht do u expect? Haya!

Wakubwa wao hawajui kusoma alama za nyakati, bado wanaamini pesa ni kila kitu.
 
Kaka yangu yupo kule ananiambia pamepooza sana, CDM wamezomewa katika baadhi ya mitaa, hali si shwari. Taarifa zaidi zitawajia.
kaka yako atakuwa pemba si arusha lema ni kama prezida wa arusha kama waamerika weusi walivyokuwa wanamuona martin luther king ndivyo wanavyomuona lema angalia star tv saa 9 ndo utajua
 
Kaka yangu yupo kule ananiambia pamepooza sana, CDM wamezomewa katika baadhi ya mitaa, hali si shwari. Taarifa zaidi zitawajia.

jana umetuaga kwa mbwembwe zote kua unaenda AR kuripoti live... Leo unasema kaka emesema kwani we hujafika huko au unadanganya jukwaa....mkuu jiheshim heshim wanaJF...kumbuka ukiwa mwongo usiwe msahaulifu.!!
 
Star Tv wapo kibiashara zaidi wanatoa habari zenye mvuto katika jamii, habari zitakazo attract maelfu ya watazamaji, subiri jumatatu utaona live uzindizi wa ccm. Star tv haipromote ukabila, kuonyesha uzindizi wa cdm ni kupromote ukabila jambo ambalo ni kinyume cha maadili ya vyombo vya habari.

pole Kaka kuona Magamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom