MAN OF CHANGES
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 507
- 191
Kaka yangu yupo kule ananiambia pamepooza sana, CDM wamezomewa katika baadhi ya mitaa, hali si shwari. Taarifa zaidi zitawajia.
Kaka yangu yupo kule ananiambia pamepooza sana, CDM wamezomewa katika baadhi ya mitaa, hali si shwari. Taarifa zaidi zitawajia.
Kwi kwi kwi teh teh teh, hao wazungu ni wa kile chama cha Kikatoliki cha siasa cha Ujerumani CDU?
Badilisha Id yako unaibisha hiyo oganelle nimtu unayekurupuka hujala chakula cha mchana?Kwi kwi kwi teh teh teh, hao wazungu ni wa kile chama cha Kikatoliki cha siasa cha Ujerumani CDU?
Preta picha tafadhali!nipo hapa Tengeru pamefana sana.....hii kitu hii...sijui itakuwaje.....
We ni mwongo kabisa kuanzia hapa Atown ni magari pikipiki zenye bendera za cdm huko si ndiyo itakuwa balaa.
kaka yako ni kipofu sasa habari za kuambiwa tena na kipofu unazileta hapa kwa nini?Kaka yangu yupo kule ananiambia pamepooza sana, CDM wamezomewa katika baadhi ya mitaa, hali si shwari. Taarifa zaidi zitawajia.
Mbona sasahatuoni kwenye Tv startv mlisema wataonyesha live hapa naona kipindi cha sporah hivi wakuu.
Kumbe unatabiri? mi naongelea eneo la tukio.