The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,550
Sina chama chochote mkuu maana hakuna chama chenye lengo thabiti la kuleta mabadiliko kwa mwananchi wa kawaida.
hameez wewe upo chama gani mkuu?
Sina chama chochote mkuu maana hakuna chama chenye lengo thabiti la kuleta mabadiliko kwa mwananchi wa kawaida.
Ukiwa ni mchambuzi au hata mfatiliaji wa siasa utagundua CHADEMA hawana jipya kwa sasa.mission yao iliishia 2010 sasa wamebakia kutapatapa na kuwapumbaza watanzania kwa hoja na matukioa yasio na maana kama tuhuma za kuuwawa kwa Dr. Slaa.
Wengi wa wafuasi wa CHADEMA shule yao ndogo na hata waliooenda shule upeo wao wa kutafakari ni finyu sana wapo kishabiki zaidi ndo maan lolote atakalosema slaa,mbowe au lissu ulichukua kama lilivo bila kuhoji.
CHADEMA inatembelea nyota ya UKAWA kwa sasa hawana jipya wanahitaji hisani ya wananchi kwa kuzusha mambo ambayo hayapo kabisa.
CHADEMA ya Bob Makani na Chacha Wangwe ishakufa iliyopo sasa n CHADEMA ya walafi na wasaka dola kwa mbinu za ovyo ovyo.

kuna wenye uwezo mdogo kama hawa ?Ukiwa ni mchambuzi au hata mfatiliaji wa siasa utagundua CHADEMA hawana jipya kwa sasa.mission yao iliishia 2010 sasa wamebakia kutapatapa na kuwapumbaza watanzania kwa hoja na matukioa yasio na maana kama tuhuma za kuuwawa kwa Dr. Slaa.
Wengi wa wafuasi wa CHADEMA shule yao ndogo na hata waliooenda shule upeo wao wa kutafakari ni finyu sana wapo kishabiki zaidi ndo maan lolote atakalosema slaa,mbowe au lissu ulichukua kama lilivo bila kuhoji.
CHADEMA inatembelea nyota ya UKAWA kwa sasa hawana jipya wanahitaji hisani ya wananchi kwa kuzusha mambo ambayo hayapo kabisa.
CHADEMA ya Bob Makani na Chacha Wangwe ishakufa iliyopo sasa n CHADEMA ya walafi na wasaka dola kwa mbinu za ovyo ovyo.
CHADEMA tangu kuzaliwa kwake haijawahi kushinda vitongoji,mitaa na vijiji vingi na kuongoza halmashauri nyingi kama walivyoshinda katika uchaguzi uliopita.Ina maana kuwa nalo hilo ni lazamani siyo jipya?.
kuna wenye uwezo mdogo kama hawa ?
Ukiwa ni mchambuzi au hata mfatiliaji wa siasa utagundua CHADEMA hawana jipya kwa sasa.mission yao iliishia 2010 sasa wamebakia kutapatapa na kuwapumbaza watanzania kwa hoja na matukioa yasio na maana kama tuhuma za kuuwawa kwa Dr. Slaa.
Wengi wa wafuasi wa CHADEMA shule yao ndogo na hata waliooenda shule upeo wao wa kutafakari ni finyu sana wapo kishabiki zaidi ndo maan lolote atakalosema slaa,mbowe au lissu ulichukua kama lilivo bila kuhoji.
CHADEMA inatembelea nyota ya UKAWA kwa sasa hawana jipya wanahitaji hisani ya wananchi kwa kuzusha mambo ambayo hayapo kabisa.
CHADEMA ya Bob Makani na Chacha Wangwe ishakufa iliyopo sasa n CHADEMA ya walafi na wasaka dola kwa mbinu za ovyo ovyo.
Umethibitisha jinsi Chadema fanatics walivyo loose nutsWewe ni Mshe.n.zi kabisa, hapo kwenye nyekundu na-justify upuuzi wako. Unapojenga hoja, jenga ukiwa hauko biased. Badae unasema hauna chama, wewe si inaonesha kabisa ni gamba? CCM ndo imewapumbaza waTZ kwa muda mrefu, at least sasa wameamka kujua hatima ya maisha yao nchini mwao. Wewe endelea kulala. Hauna tofauti na Mingoi aliyesema humu jf kuwa katiba pendekezwa miaka 50 ijayo inamuwashia nini mzee Warioba. Hajui hata maana ya sustainable development (Maendeleo endelevu, tafsiri isiyo rasmi), ni pamoja na wewe hujui maana ya nini upinzani imefanya hadi leo hii.
Akili punje siyo kosa lako.