CHADEMA wanapata wapi fedha za mikutano?

Mifukoni mwao wananchi wazalendo πŸ€”
 
Fuatilia chadema digital ,utajua chadema Ina wanachama wangapi nchi mzima alafu uzidishe hiyo idadi mara ada ya MWAKA ya kadi Yao ya uanachama ndio utajua kiasi wanachokusanya.mfano wanachama wako 5,000,000 mara tsh 2000 ya ada unapata 10,000,000,000.ya haraka hip ni mfano tu.
 
Tukiwaambia chadema ni dude kuuubwaaa muwe mnaelewa jamaniii...ni juzi tu Dr mihogo kasema wazi kuwa chadema imekomaa na iko tayari kuongoza nchi .. yule Mzee hajaropoka tu ...kaongea ukweli japo amebezwa sana mitandaoni , Chadema iko tayari kuiongoza hii nchi ...TISS msitubanie bhana
 
Yes
 
Chadema iko kwenye mioyo ya wanachadema,tunachangia tofauti na CCM inayochota hela hazina kufanyia shughuli za chama. Sukuma Gang mna ushamba na roho za kimasikini sana.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ungeuliza vyama vya siasa Tanzania vinapata wapi fedha!
Kulenga chama kimoja imaoΓ±esha uko biased!!

Uchambuzi wako unakosa mashiko!!
 
Hili nalo swali la msingi
 
USSR inamhusu nn? yy ni akae tu mbele y TV yke akistaajabia miujiza ya Muumba. hayawi hayawi ya madikteta huwa yanafikia mwisho pia. rejea ya Hitla, Mobutu, Idd Amin ...nk. atagundua mengi ktk history. kila ovu linatesa lkn lina mwisho pia. avumilie
 

Wamekopa saccos ya Vijana kazi ya Buguruni
 
Wenye mapenzi mema na chama ndio wanatoa!
Uliza swali lingine wewe ujibiwe kwa hekima na busara!
 
RAINBOW SUPPORT FUNDS.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
wanapata kutoka kwa mamayenu ccm
 
Tanzania kuna serikali moja tu nayo ni wa wananchi na ndiyo inayotunza kodi zote wanazolipa watanzania ikiwa ni pamoja na zile wanazokwiba viongozi wa CCM. Pesa wanazotumia Chadema zinatokana na wanachadema na marafiki wa Chadema.
 
Join the chain chadema digital shida yenu walivokua wanahamasisha mkasema anatafuna mbowe hela leo mnauliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…