CHADEMA wanani dissapoint kwa kweli

who is the duty bearer? Is it cdm or the govt of ccm?
The right holders are the tz communities the role of cdm is not to provide the services/rights to tz communities but to hold the duty bearers accountable to tz communities' rights.

And that is all we demand that it be done. These guys have drifted from this duty to bickering that is unnecessary and of no significance to the common mwananchi. There are serious resource allocation issues, expenditure priorities and all forms of mismanagement which need to be addressed urgently. Unfortunately, those who are entrusted with this noble responsibility are busy discussing whether it was appropriate for the ruling party to appoint its spokesman while he had defected to another political party, as if this debate would lower pump prices or food prices! It is a pity!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
And their shadow finance minister is trying to sell NBC and Airtel shares,to lower fuel prices.....that really pissed me off!!...why the hell you drive a hummer in a non oil producing third world contry like tanganyika?
 
Be careful with this comment. His bootlickers will pounce on you with all sorts of names. They won't discuss the issue because that will deny them opportunity to expose their naivety!
 
Be careful with this comment. His bootlickers will pounce on you with all sorts of names. They won't discuss the issue because that will deny them opportunity to expose their naivety!
They already called me all kinds of names.....
"You are entitled to your own opinion,but you are NOT entitled to your own facts!"
 
Since we begun practicing multi-party system, we have seen the opposition parties appearing or becoming active only during an election, and disappearing when the election is over. So far Chadema seems to change this trend but we will have to wait and see. But the real fact is that most of the opposition parties including Chadema are established and operate around the personalities of certain individuals. They lack internal democracy and suffer from inter-party and intra-party conflicts. So far we have seen Chadema being dragged into the CCM internal conflict very easily.

Instead of focusing on what it was doing, i.e building strong base and increase its experience, Chadema is now in clash of words with CCM leaders. I don't think this will help Chadema in terms of organisation and building strong connection with the popular constituencies. Chadema needs to learn that most of the weaknesses of opposition parties emanate from the ruling parties' hostile policies and practices, which are mostly aimed at fragmenting and weakening the opposition groups. That is exactly what CCM is doing. Dragging Chadema into its own internal conflict for CCM's benefit. We may end up in the same old story.
 
Hivi CHADEMA hawawezi kuzungumza kuhusu mustakabali wa tanzania bila
kuzungumzia CCM kwa jazba?.

Wazungumze nini kipya? Kwani kilicho wapromote si ni WAPE WAPE (CCM) VIDONGE VYAO!!!! Nikiwaona viongozi wa chadema jukwaani namkumbuka marehemu ISSA MATONA au JUMA BHALO!:smow:
 
Assuming mimi ni mende kama unavyodai, how does that change the reasoning? It only confirms that there is nothing between your ears!

..teh teh teh... that blue.. it makes me laaaaaffffffff.... JK akiongeza mshahara woooteee mtafyata
 
The Boss,

Mkuu, Chadema is Insubstantial watakupasua kichwa
 
The Boss,

Nashukuru umetamka kuwa Chadema imeku dissappoint.

i)Ni heri mara million Chadema "iku dissappoint" wewe mtu mmoja au na kundi lako, kama dissappointment inatokana na hoja ulizotaja lakini mamillioni ya Watanzania wakafurahia ukweli, na uwazi kuhusu mustakabali wa nchi yao.

ii) Ni heri mara millioni ukawa dissappointed "wewe", lakini rasilimali za watanzania zikaokolewa na "kelele" za Chadema na watanzania na watoto na
wajukuu zao kunufaika kuliko wachache na kundi lao la mafisadi kunufaika.

iii) Ni heri mara millioni "wewe" ukawa dissapointed, lakini "wanafiki wa nchi hii wakavuliwa nguo hadharani ili kujenga taifa lenye maadili na uadilifu.

iv) Hapa niliko niko vijijini, Wananchi wa Njombe, Njombe mjini na vijijini (ambako tulikuwa leo asubuhi) wanaendelea kusherehekea, utadhani uhuru ndio umepatikana leo. Sijui hoja zako zinamwakilisha nani na au unampigia debe nani na kwa manufaa ya nani? Unahitaji kujitafakari nafsi yako na ya familia yako.
 
Watu wengine bwana!Inakuwaje unakuwa disapointed na ishu muhimu kama hizi??Sijui kama uko sawa!!
 
The Boss,
Nashukuru umetamka kuwa Chadema imeku dissappoint.
i)Ni heri mara million Chadema "iku dissappoint" wewe mtu mmoja au na kundi lako, kama dissappointment inatokana na hoja ulizotaja lakini mamillioni ya Watanzania wakafurahia ukweli, na uwazi kuhusu mustakabali wa nchi yao.
ii) Ni heri mara millioni ukawa dissappointed "wewe", lakini rasilimali za watanzania zikaokolewa na "kelele" za Chadema na watanzania na watoto na wajukuu zao kunufaika kuliko wachache na kundi lao la mafisadi kunufaika.
iii) Ni heri mara millioni "wewe" ukawa dissapointed, lakini "wanafiki wa nchi hii wakavuliwa nguo hadharani ili kujenga taifa lenye maadili na uadilifu.
iv) Hapa niliko niko vijijini, Wananchi wa Njombe, Njombe mjini na vijijini (ambako tulikuwa leo asubuhi) wanaendelea kusherehekea, utadhani uhuru ndio umepatikana leo. Sijui hoja zako zinamwakilisha nani na au unampigia debe nani na kwa manufaa ya nani? Unahitaji kujitafakari nafsi yako na ya familia yako.

Dk W.Slaa
Kwanza pole kwa maandamano Mkuu, kuna mgongano kuhusu mshahara wako pamoja na marupurupu yako ebu tuweke sawa Mkuu
 
The Boss, yaani kama Nape anapiga propaganda zake unataka asijibiwe? Hata kama kijana wa Kikwete amefanya ufisadi watu wasiambiwe kisa wakisemwa Nape atasema wanatetewa mafisadi?

Kwani mafisadi ni kina nani si hata Kikwete mwenyewe alitajwa pale Mwembe yanga.
 
Dk W.Slaa
Kwanza pole kwa maandamano Mkuu, kuna mgongano kuhusu mshahara wako pamoja na marupurupu yako ebu tuweke sawa Mkuu

huo mgongano uko kwanani? nenda kaulize mshahara kwa katibu mkuu wa chama chako cha magamba kwanza,au tuambie wako kwanza, dk wa ukweli chapa kazi tuko nyuma yako, vijana tunajiandaa tuwe tunakuchangia kiasi fulani cha hela ili uendelee kufanya kazi nzuri ya kutuletea ukombozi wa kweli, hicho kiasi ni kidogo sana kwa kazi uliyoifanya na unayoendelea kufanya, Godbless you mr president
 
It is all about the politics na hizo ni mambo muhimu sana katika taifa na siasa za kila siku hivyo ni vizuri sana
 
Umeumbuka,mantiki-propoganada. mapinduzi yote yana wasaliti. Wasomeshe ccm, maana wamechanganyikiwa na siyo CDM wako safi, mambo mdundo.CDM mnaposumbuliwa na nzi mshughulikieni upesi asije akawambukiza kipindupindu.Hoja ya huyu ni ya kipindupindu, jihadharini na hoja kama hizi.
CDM ukisumbuliwa na hoja ya majitaka imalize kwanza.Silence means acceptance. Kumbuka Tanzania ina bara na pwani, watu wa sehemu fulani bila mipasho hawaelewi kitu. CDM ukienda bara zungumza kama wabara na pwani hali kadfhalika. CDM, tembea mita bendi zote, ziba njia zao zote hata za vichochoroni, hata uwani kwenu magamba wasipite.
Hoja ya kwamba CDM wana kudisapoint inalenga kufanya CDM wasjibu hoja za ccm wakubali kudungwa sindano za ccm na kudhoofishwa. NO,bandu bandua. Mkiwaacha magamba watazoea. Mtawekwa kwenye defensive position. ccm inapo stoop to low kihoja mfuate huko. CDM you shouldnt accept underbelt punches defend and unleash blockbusters.Kinana is silent,six,Nape etc.Warudi wapigane vita zao za ndani kwa ndani. Vita ya nje wasithubuti. keep them bolted in kama panya wameimaliza nchi.CCM ni shimo msiache panya watoke nje tunawataka mwaka 2015.
 
Me nashangaa sana huu utamaduni wa watanzania kutokupenda kukosolewa au kuambiwa ukweli pale inapobidi. Naiona hii hali hata humu ndani JF Kila mtu akipost mada ya kuikosoa CHADEMA basi atatukanwa na kuitwa mtoto wa mafisadi.

People inabidi mjifunze kudigest different ideas. Inabidi tujenge utamaduni wa kukubali kutokubaliana. JUST BECAUSE NAIKOSOA CHADEMA IT DOESNT MEAN MIMI NI CCM, I CAN BE INDEPENDENT.

Katika chaguzi nyingi duniani wanaoamua mshindi ni watu kama mimi because sina chama so i can vote to chama chochote ambacho kina sera nzuri. Tofauti na watu ambao wenyewe ni wapenzi wa vyama, hata vyama vyao vikifanya madudu wanavipigia kura tu.

MAPENZI HULETA UPOFU, I dont support CCM 4 any mean kwani najua 80% ya matatizo yanayolikabili taifa letu yamesababishwa nao, na kama wangekuwa na gut wangeweza kuyamaliza yote.

The same time siwez tu kuisuport CHADEMA sababu tu ni chama cha upinzani kikuu wakati kuna madudu kibao nawaona wakifanya.

CHADEMA INABIDI WABADILIKE, UMAARUFU WAO UMEKUJA GHAFLA MNO AND THATS BAD, inabidi wafanye reform kubwa sana katika utawala na kurecruit watu.

ASIKWAMBIE MTU VINGINE, UKWELI NI KUWA NGUVU YA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA INAANZIA KWENYE MATAWI YA NYUMBA KUMI KUMI. HUKO NDIO KWA KUINVEST NA KUMWAGA MAPESA, NA SIO MAANDAMANO NA MIKUTANO ISIYO NA TIJA.

CHADEMA wafukuzeni CCM kimya kimya bila makelele kwa kukijenga chama katika nyumba kumi kumi.

Msinitukane wazee ni maoni tu.

Marked red, It is like you are complaining the thing you don't know. What chadema does is to go to grass root to make people awaken. While you admit that the strength of any party is in the grass roots, you are forget that indeed chadema is doing a commendable job. Chadema wanaenda vijijini kuamsha watu, kuanzisha matawi na kujenga a wide spectrum ya wapiga kura. Are you insane mkuu, mbona mambo madogo haya yanakushinda to comprehend?
 
Nina wasiwasi kwamba wewe ndie asiyejua tunachokiface hapa. Unafahamu kwamba ni katika mikutano hiyohiyo ambayo propaganda za nape na wenzake zinajibiwa ndipo masuala ya mkulo kama vile kushuka kwa mapato kwa 15% yalizungumziwa? "budget season" eeh? Unataka kutuaminisha kuwa chanzo cha matatizo ya watanzania wa tandahimba ni bajeti? Bajeti ambayo haisimami mpaka kieleweke kwa wahisani? Mishahara wanailipa kwa kudunduliza mapato ya TRA on hand-to-mouth basis si ndio ipo kwenye bajeti? Kwanini tusiwahukumu kwa wananchi kwa kutufikisha hapa in the first place kabla hata ya kuanza kuiangalia hiyo bajeti uchwara!
Hii ni budget season!!!....mkulo ashatoa draft yake like 2months ago,zitto katoa yake like a week ago,wana jf bado tupo kwenye malumbano ya nani muhuni na nani mstaarabu.Hivi tunajua tunachokiface?.....Cdm now is like NCCR in the late 90s but on steroids!
 
Rais anasema "Dowans siwajui,...aliyewaleta simjui"......Rais anasema waziri mkuu na mawaziri wake wawili waliojiuzulu ni "ajali ya kisiasa"...rais anapiga kimyaa...TAKUKURU inasafisha kashfa,kamati teule ya bunge inaonesha uozo mlangoni kabisa na si uvunguni,hakuna mtu anawajibika TAKUKURU, rais anapiga kimya tena. Wizi unanekana benki kubwa, rais anawaomba chonde chonde wezi warudishe;wanarudisha nusu, anapiga kimyaa. Halafu akisemwa ni fisadi anapiga kimya kama kawaida yake. Halafu msomi mmoja anasema..."Watu wanaoamini kwamba JK anahusika na ufisadi kwa sababu tu hakujibu hoja au matamko ya jukwaani na ambayo ni ya kutunga na matokeo ya conspiracy kati ya mafisadi na baadhi ya mawakala wao." ...Jamani hivi hii nchi tuna bahati mbaya namna hii kweli? Hivi bila "kelele" za CDM na migomo yao ya kijinga-jinga huyu rais angeanzisha walau geresha za katiba mpya, au komedi za kujivua magamba kweli?
Sawa bana, subiri tuu kama silent obsever. Ni heri mara mia,kuliko hayo maneno yako unayojaribu kutuamininisha kuwa ni busara.
That is completely a wrong approach coz siyo kila wakati unaweza kujibu kila tuhuma inayokuja kwako na hiyo tafsiri yako kwamba kila ukikaa kimya basi unakiri ni potofu. Watu wanaoamini kwamba JK anahusika na ufisadi kwa sababu tu hakujibu hoja au matamko ya jukwaani na ambayo ni ya kutunga na matokeo ya conspiracy kati ya mafisadi na baadhi ya mawakala wao.

Kama CDM wanadhani wataweza kujibu kila hoja, tunawatakia kila la heri na tunasubiri kuona watakachokuwa wamevuna baada ya muda wa malumbano na hatutaki kusikia wakilalamika, na wewe advisor wao usiwakimbie baadae.
 
The Boss,

Nashukuru umetamka kuwa Chadema imeku dissappoint.

i)Ni heri mara million Chadema "iku dissappoint" wewe mtu mmoja au na kundi lako, kama dissappointment inatokana na hoja ulizotaja lakini mamillioni ya Watanzania wakafurahia ukweli, na uwazi kuhusu mustakabali wa nchi yao.

ii) Ni heri mara millioni ukawa dissappointed "wewe", lakini rasilimali za watanzania zikaokolewa na "kelele" za Chadema na watanzania na watoto na
wajukuu zao kunufaika kuliko wachache na kundi lao la mafisadi kunufaika.

iii) Ni heri mara millioni "wewe" ukawa dissapointed, lakini "wanafiki wa nchi hii wakavuliwa nguo hadharani ili kujenga taifa lenye maadili na uadilifu.

iv) Hapa niliko niko vijijini, Wananchi wa Njombe, Njombe mjini na vijijini (ambako tulikuwa leo asubuhi) wanaendelea kusherehekea, utadhani uhuru ndio umepatikana leo. Sijui hoja zako zinamwakilisha nani na au unampigia debe nani na kwa manufaa ya nani? Unahitaji kujitafakari nafsi yako na ya familia yako.

kweli hii ni twanga kote kote, yani dr slaa unamtwanga hata the boss
ingekuwa member anakufa kwa maneno dr slaa ungekuwa umeua the boss
twanga kote kote dr slaa hata sisimizi usimwache
 
And that is all we demand that it be done. These guys have drifted from this duty to bickering that is unnecessary and of no significance to the common mwananchi. There are serious resource allocation issues, expenditure priorities and all forms of mismanagement which need to be addressed urgently. Unfortunately, those who are entrusted with this noble responsibility are busy discussing whether it was appropriate for the ruling party to appoint its spokesman while he had defected to another political party, as if this debate would lower pump prices or food prices! It is a pity!

TRUE!
But mind you diversions sometimes are to be dealt with if they are coming strongly as we can witness now.
The type of TZ communities are also easily diverted to trivial issues think of the 2005 and the Slaa and the concubines issues.
So Diversions are to be dealt with also.
 
Back
Top Bottom