masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,608
- 14,552
Usijiridhishe kwa kuipanua mada hadi ikawa obsolete.Mkuu mbona unataka kufanya kila anaefatilia mjadala huu atuone hatuna akili?
1. Kwanini unasema cadema walifanya mkutano haramu, kama ndivyo vipi kule zanzibar ccm walifanya mkutano kwa kutumia sheria ya inchi gani? (kuwaruhusu maelfu zanzibar na kuwazui watu wachache kabisa pale nyororo) Thibitisha kwa nukuu ya vifungu vya sheria.
2. kifo cha mwangosi kilitokea katika ofisi za chadema au uwanjani na kama katika maeneo ya ofisi za chadema kwa mikutano ya maofisini ilizuiwiwa kwa tamko gani au namba ngapi na nani alisema mikutano ya ndani imezuiliwa? Rejea ccm zanzimba wa hadhara tena wa maelfu ya watanzani.
3. Katika mauwaji yale ushahidi wa picha unaonesha kwa mtazamo wako nani alimvamia mwingine chadema au polisi kuvamia ofisi?
4. Kwa mujibu wa watuhumiwa wa mauwaji ya mwangosi kuna chadema wangapi?
5. Kitu gani kilisababisha mwagosi kuwawa a) polisi walishambuliwa b) raia walikua na Silaha c) Upuuzi wa mkuu wa polisi kukosa hekima uvamia wanachama katika ofisi yao?
Mafisadi.
-CCM walikuja na wimbo wa kujivua gamba kama ilivyotangazwa na mwenyekiti Kikwete kwanini alileta hoja hii tueleze kwanii?
-Unajichanganya sana nikuulize wewe kwanini Edward Lowasa sio waziri mkuu badala yake waziri mkuu ni Pinda kwa nini?
-Bila mashaka yoyote toa sababu za kueleweka kama muelewa kwanini Rostam sio mbunge tena why? kumbuka ya karamagi,
msabaha, Edward Lowasa na Richmond - Bungeni.
-Tuambie kwanini tumepokea change ya rada kwanini? kwanini turudishiwe fedha? Je unaukumbuka ushauri tulopewa na wanigereza?
Sasa mkuu tujadili kama wenyeakili timumamu naomba upitie maelezo yangu mstari kwa mstari na tujadili kikamilifu na
wanaopitia maelezo yetu wasiwe na wasiwasi na uwezo wetu wa akili no propaganda.
Mkuu wangu hawa watunzi wa maneno wanatuaibisha sana, wanaliaibisha jukwa na wanawaibisha watanzania kwa ujumla.
Huyu mtu anafananisha ufisadi wa Lowasa na msiba wa mwangosi ni dharau sana kwa marehem, hajiulizi kama sio kweli
kwanini Lowasa sio waziri mkuu (haoni ukweli hapo akili zake zimepinda kabisa) nk
Mkuu watanzania wenzetu wameweka uzalendo kando na kuitetea ccm kwa hoja za uzushi na kufikirika. Baba, mama na ndugu
zao huko vijijini wanateseka sana kwa ugumu wa maisha uloasisiwa na ccm, hili hawalioni.
Usijiridhishe kwa kuipanua mada hadi ikawa obsolete.
Msingi wa mada hii ni kwamba CDM, kama alivyo mtoto aliyezaliwa jana, ni malaika. Hana cha kukosolewa.
Nimekupa mfano moja tu ambao naona unakuumiz kichwa na kukimbilia hukumu y mahakama ambayo haipo.
Fact is, mkubali kuwa mna madudu kwa vile CDMhaiongozwi na malaika, inaongozwa na binadamu wenyekufanya makosa.
Hivyo kusahihishwa na kukosolewa ni lazima.
Mkiendelea na msimamo huu ni lazima CDM kitakuwa chama cha kidikteta, kisichoona madudu yake.
Hakuna cha watunzi wa maneno wala kiwanda cha uongo hapo.
Msijitie umalaika wa kujiweka kuwa mnawatetea wananchi at heart wakati actually mnawatumia kama cannon fodder kwa malengo ya kisiasa.
Kwa ukweli ni dharau zaidi kwa familia za wote walio kufa kwa malengo finyu ya kisiasa yanayofanywa na uongozi wenu wa CDM.
Endeleeni kupimana nguvu na sparring partners wenu, polisi, ili mpate sababu za kisiasa kupayuka kuwa mnaonewa.
Sijasikia ni jinsi ipi mnaweza kuwa positive katika thinking yenu, na namna mtakavyo muendeleza mtanzania wa kawaida.
Na ndio maana wimbo mliozoea kuimba wa ufisadi hata watoto wa chekechea wanaujua sasa.
Jaribuni kubuni mikakati ya maendeleo.
Mara kumi mzee Mapesa Cheyo, aliye catch imagination ya watanzania kwa "kuwajaza mapesa" kwa mbinu anazozijua yeye.
CHADEMA bure kabisa.
hata kukamatwa kwa lile kontena la pembe za ndovu huko Hong Kong Chadema inahusika.
Hatari:
Weka Mbali na Tembo.
mkuu mkumbushe na hili, wakati akiuliwa Mwangosi kule visiwani ccm ilizindua kampeni chini ya hao polisi!.Mkuu endelea na propaganda nimefunga mjadala
lakini data za kujitugia ilikujifariji na kuuweka pembeni ukweli nikuudharirisha utanzania wetu.
Suala la EL na ufisadi halina mjadala, kila mtu analijua hilo, lakini hakuna mahakama iliyo mhukumu.Nimepunguza ili uelewe natoa majibu basi! niwewe ulotaka ushahidi wa ufisad wa lowasa? ndiyo hapana?
Tuambie kwanini Lowasa sio waziri mkuu? kisha tuambie mahakama imetoa hukumu ya mwangosi lini kujuwa nani mhusika?
umepata wapi data na kujaji 50% ya polisi na 50% ya chadema bila haya wala aibu?
Changanya na za kwako kibao kiko mgongoni kwako.Wewe nimekuliza kama hupiki maneno tuthibitishie, kesi ipo mahakani, hukumu haijatoka umepata wapi ushiriki wa 50%
kwa chadema na 50% polisi?
Umekosa jibu umebaki kupiga siasa lete majibu kama wewe sio mtambo wa uwongo.
Kukithiri kwa rushwa nchini kukiongozwa na chama tawala ccm...............CHADEMA INAHUSIKA.
Uteuzi usiofaa wa mawaziri na watendaji wakuu wa serikali......................CHADEMA INAHUSIKA.
Serikali kutokuwa na nia ya kuendeleza nchi................................CHADEMA INAHUSIKA.
kuendeleza mfumo dhaifu wa uchaguzi na uchakachuaji kura.......... CHADEMA INAHUSIKA.
Kuongezeka kwa ukosefu wa ajira.................................................CHADEMA INAHUSIKA.
Kushuka kwa kiwango cha elimu nchini..........................................CHADEMA INAHUSIKA
Na kadhalika nakadhalika........nakadhalika................................... CHADEMA INAHUSIKA.
Jamani, ccm na serikali yake, jifunzeni kuwa wa kweli na kukubali udhaifu wenu. Katika hila na uwongo hakuna nia njema.
Changanya na za kwako kibao kiko mgongoni kwako.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na sparring partners wenu, kamuhanda.
Mchele kilo1= 3000, sukari kilo1=3000, cement mfuko1=5,000 sembe kilo1=2000 na haya chadema wanahusika
Msijitie umalaika wa kujiweka kuwa mnawatetea wananchi at heart wakati actually mnawatumia kama cannon fodder kwa malengo ya kisiasa.
Usikasirike mkuuhuna lolote mpayukaji tu, hujui ukweli kaa kimya utaheshika zaid kuliko blabla nyingiiiiiiiiii ?
masopakyindi
Wewe ni mojawapo wa wapika majungu na muwongo.
Utanzania ni zaidi ya kupiga soga na kutetea ccm hatakama unafanya hivyo kwakujivua nguo.
LETE USHAHIDI WA KUHUSIKA KWA CHADEMA 50% Na KUSHIRIKI KWA POLISI 50%
Kesi ipo mahakamani, maamuzi hayajatolewa, umepata wapi hizi 50% kama sio majungu?
wewe ni mmoja wa mitambo ya ovyo kabisa ilopoteza uzalendo na sifa za kuitwa mtanzania kwa uwongo, kupika majungu na
kutetea upumbavu.
Mimi nataka fact sio upumbavu lete ushahidi sio blabla na siasa za maji taka na propaganda za kiccm.
Kila tukio lina specific circumstances zinazozunguka matukio hayo.
Lile la Mwangosi imebainika CHADEMA walitaka kupimana ubavu na polisi, yaliyotokea yametokea.
Mmmeambiwa kila kona kuwa at least wangetumia busara(wote CHADEMA na Polisi) kifo kile kisingetokea.
Kwa hiyo lawama zimeenda 50% polisi, na 50% CHADEMA/M4C.
Huwezi jivua lawama kama malaika, ukubali kukosolewa kama mnavyo wakosoa wengine.
Kila tukio lina specific circumstances zinazozunguka matukio hayo.
Lile la Mwangosi imebainika CHADEMA walitaka kupimana ubavu na polisi, yaliyotokea yametokea.
Mmmeambiwa kila kona kuwa at least wangetumia busara(wote CHADEMA na Polisi) kifo kile kisingetokea.
Kwa hiyo lawama zimeenda 50% polisi, na 50% CHADEMA/M4C.
Huwezi jivua lawama kama malaika, ukubali kukosolewa kama mnavyo wakosoa wengine.
Na lusinde kutukana chadema inahusika shenZi ccm