Kila tukio lina specific circumstances zinazozunguka matukio hayo.
Lile la Mwangosi imebainika CHADEMA walitaka kupimana ubavu na polisi, yaliyotokea yametokea.
Mmmeambiwa kila kona kuwa at least wangetumia busara(wote CHADEMA na Polisi) kifo kile kisingetokea.
Kwa hiyo lawama zimeenda 50% polisi, na 50% CHADEMA/M4C.
Huwezi jivua lawama kama malaika, ukubali kukosolewa kama mnavyo wakosoa wengine.
Wacha kudangaya umma, mkutano wa ndani halafu waandishi wa habari walioalikwa kibao, na wanachama kibao!Mkuu chadema haipimani nguvu na polisi,you are wrong!polisi walitangaza mikutano ya nje/hadhara haziruhusiwi ila ule ni mkutano wa ndani na polisi waliuvamia
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Wacha kudangaya umma, mkutano wa ndani halafu waandishi wa habari walioalikwa kibao, na wanachama kibao!
Kwa ukumbi upi uliopo Nyololo?
CHADEMA inahusika 50% na kifo cha Mwangosi, the other 50% ni sparring partners wenu polisi.
mkuu uyo mtu ni wakuogopa sana, angalizo ni muhimu sana.
Hatari:
Weka Mbali na Tembo.
Mkuu mbona hujajibu swali langu ilikuonesha unachoongea kinaukweli na sio utunzi?
Rejea swali langu au nirudie?
Mkuu na wewe nisaidie swali hili.
Tunaposema EL, RA na Chenge na wengine walipelekwa mahakama ipi.
Lakini ukweli unsbaki pale pale kuwa ni mafisadi.
Na nyie kubalini kukosolewa au kujikosoa.
Sielewi kwa nini unakimbilia mahakama wakati ukweli unaujua.Mkuu swali langu umelielewa? naomba unieleweshe kulingana na swali lilivyo.
Teyari mahakama imetoa hukumu ya kifo cha mwangosi na adhabu ilikuwaje baada ya hukum hiyo kama ilitolewa?
Nimeuliza hivi ilikuthibitisha hizo lawama kwa 50% chadema na 50% polisi kuwa zinaukweli na ni halali!
Sielewi kwa nini unakimbilia mahakama wakati ukweli unaujua.
Na ndio maana nimekuuliza mahakama zilizo wahukumu mafisadi-hakuna.
Sasa wewe si kijana wa chekechea
CHADEMAs 50%-kuwaita wananchi katika kikao chenye utata, kuwamobilise wasndishi na wapambe
Polisi 50%- kutumia nguvu za kiuaji na bila weledi, kwa suala ambalo halikuhitaji nguvu hiyo.
Sasa mkuu Adolay kama huelewi mpaka ufafanuliwe na mahakamanayoita ya magamba, basi utashindwa kuchanganya na za kwako.
Mkuu endelea na propaganda nimefunga mjadala
lakini data za kujitugia ilikujifariji na kuuweka pembeni ukweli nikuudharirisha utanzania wetu.
Haya ni maneno mazito mkuu toka kwako,CCm imefilisika kifikra,kimuono,kisera na kimikakati hivyo kila jambo linapotukia wanajribu kujifichamia kwenye mgongo wa CDM,wanasahau kuwa nyakati zinabadilika sana hivyo watz wa miaka ya nyuma si wasasa kwa kuwa wanatambua haki zao na nani anazo,so wapo tayari kuzidai haki hizo.Ni kauli ya kuudhi na kukata tamaa. Hutamkwa sana na viongozi-tena wa juu wa chama changu cha CCM na 'washirika' wake pale linapotokea tukio lolote,hasa lisilovutia. Wakiuawa watu na polisi,CHADEMA wanahusika;wakizomewa Mawaziri na viongozi wa CCM,CHADEMA wanahusika;wakigoma wanafunzi wa vyuo vikuu,CHADEMA wanahusika;wakiandamana waislam,CHADEMA wanahusika(?).Kila baya CHADEMA.
Hizi ni siasa za kipuuzi. Hazitachelewa kuchosha. Sasa,kwahiyo CHADEMA inakubalika kuliko wengine hadi kukubaliwa mipango yao nchi nzima? Eti,CHADEMA huwanywesha watu viroba ili wazomee?! Hakuna cha viroba,magunia wala pakacha....watanzania wanabadilika. Hawasomeshwi vya kutosha shuleni lakini maisha ni shule kuu zaidi. Wanahitimu kila siku.
Kama ni kweli CHADEMA inakishinda chama changu kiushawishi mashuleni,vyuoni,vijijini,masokoni,mijini na kwingineko,mbona uchaguzini hakitangazwi mshindi mara kwa mara? Kinana na wengine,kuanzia leo hatutaki kusikia kauli hii.Ikome na mpambane tumwone mshindi wa haki
Kwa nini usikubali ukweli na kukbali kukosolewa, mimi niko on rcord katika jamvi hili nikitahadharisha kuwa M4C ikienda Mbeya, kwa mtindo huu na olisi basi tujitayarishe kwa maafa zaidi.
Ukipenda kujiridhisha ita hiyo ni ropaganda.
Mkuu swali langu umelielewa? naomba unieleweshe kulingana na swali lilivyo.
Teyari mahakama imetoa hukumu ya kifo cha mwangosi na adhabu ilikuwaje baada ya hukum hiyo kama ilitolewa?
Nimeuliza hivi ilikuthibitisha hizo lawama kwa 50% chadema na 50% polisi kuwa zinaukweli na ni halali!
Hana uwezo wa kukujibu mkuu. Si unajua ameahidiwa posho ili atete CCM?