CHADEMA wanafanyia mikutano Stand, Sokoni na Hospitali!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,052
28,242
NEC itoe tamko juu ya tabia hii inayoweza kuwa hatari wa usalama wa raia kwani kumekuwa na ongezeko la mikutano inayofanywa na Chadema katika masoko,vituo vya mabasi na mbaya kabisa kwenye hospitali na vituo vya afya.

Tanzania ni kubwa na haijakosa mahali pa kufanyia mikutano.Chadema waache janja za kitoto.
 
wew ni kenge huna jipya kila siku kutengeneza vithread vya kitoto kana kwamba hujwaiattend darasa,unajua kuandika ujinga tu.Alaf strategy ya kupost vitu vya kipuzi kama mlivyoelekezwa na Jinga kubwa Nape kudisturb kisaikolojia ukawa ni upuzi mtupu unaofanywa na watu wenye fikra pofu.
 
kwamfani kigoma uwanja wa mpira ujiji na lake tanganyika vilikua wazi, lakini wakajikusanya mwanga nyuma ya kituo cha mafuta katika kiwanja kidogo. hatari saana
 
Acha ujinga.mama Samia alipokuwa ARUSHA mikutano yake alifanyia wapi?hukuona picha mtandaoni akihutubia nyanya solo la kilombero ARUSHA?
 
Mtajamba sana this time!

hao ndio watu wetu ninyi endeleeni tu kuhubiri mambo ya Libya mkidhani tunadanganyika.

Lowasa yupo nyoyoni sio kwenye mabango.
 
Kinachonishangaza ni tabia ya Magamba kuongoza kwa kuleta nyuzi za ukawa humu jamvini..
Cjui kwanin!!!
 
na tunajiandaa kwenda kwenye vituo vya police lazima tuwamalize... NI mabadiliko tuu hapa hamana namna
 
wew ni kenge huna jipya kila siku kutengeneza vithread vya kitoto kana kwamba hujwaiattend darasa,unajua kuandika ujinga tu.Alaf strategy ya kupost vitu vya kipuzi kama mlivyoelekezwa na Jinga kubwa Nape kudisturb kisaikolojia ukawa ni upuzi mtupu unaofanywa na watu wenye fikra pofu.
Hii sio thread ya kitoto mkuu!
 
kwamfani kigoma uwanja wa mpira ujiji na lake tanganyika vilikua wazi, lakini wakajikusanya mwanga nyuma ya kituo cha mafuta katika kiwanja kidogo. hatari saana
Kituo cha mafuta kikilipuka ni harari mno
 
Back
Top Bottom