CHADEMA wana malengo yanayofanana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wana malengo yanayofanana?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Jun 1, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Kuna kila dalili za CHADEMA kutwaa nchi toka kwa NYINYIEMU hapo 2015.Dalili ziko wazi.Lakini,hivi wanachama wote na wafuasi wa CHADEMA wana malengo yanayofanana? Isije ikawa wengine wanasubiri kuwapiku wengine:mambo ya ujanja kuwahi.Kuwahi fursa na kuwazima wengine.Kiukweli,shaka yangu ina mantiki.Kwasababu,wananchi wanajiandaa kuwaamini CHADEMA.CHADEMA ijiandae vyema...
   
Loading...