CHADEMA "wamtosa" Zitto

CHADEMA "wamtosa" Zitto

Wanajuaga kwa upande wa uongo kawazidi sana.
 
Wewe dhamira yako ni uchonganishi kati ya Chadema na ACT, mumeivuruga CUF kwa kumtumia Lipumba sasa mnataka kuchonganisha ugomvi kati ya CDM na ACT wakati huko kwenu CCM kuna moto unaofukuta mmeshindwa kuuzima na sasa mnataka kuwasha moto kwa wengine, hamuwezi ng'ooo.

Haa haa Act si ilianzishwa ili kushindana na Cdm na si ccm .mmesahau hilo asubuhi hii
 
Ndugu zangu,

Mara kadhaa nimetoa ushahidi wa unafiki ulipo kwa kambi ya upinzani dhidi ya Zitto na hata pale nilipoweka bayana jinsi Chadema walipoongeza chuki yao kwa Zitto baada ya Seif na wafuasi wake kutimkia Cuf.

Japo imekuwa ni kawaida ya Zitto kutunga habari za uongo kuhusu masuala mengi ya kitaifa lakini Chadema wamekuwa wakimpotezea.Ninaposema Chadema namaanisha Mbowe na si "keyboard worriors".

Mbowe kama KUB alipaswa amuunge mkono Zitto na hoja zake ambazo kimsingi zimewateka vijana wa Chadema mitandaoni na kama vile hautoshi hakuna Mbunge hata mmoja wa Chadema anayejaribu kumuunga mkono Zitto hata kwa kulike posti zake.

Niseme tu kwa uwazi,upinzani Tanzania "unatafunana" wenyewe kwa wenyewe.

Alamsik
Usiwe unataka usingizini alafu unaleta mada zako za jikoni humu,sijaona ulichoo maanisha hapo Chadema wamtosa zitto kwenye nini,yaani kwa akili yako like ndio njia ya Ku support jambo,acha upuuzi inzi Wa kijani.
 
Propaganda za kitoto kutoka kwa mzee mwenye akili ya kitoto
 
Wana kauwivu fulani dhidi ya huyo jamaa, manaake keshawazidi kete.
Naona wacha.wi mnajibizana wenyewe kwa wenyewe jf! Imagine waziri anashinda mitandaoni akifuatilia 'likes' ya wabunge wa upinzani kwa zitto.....what a hell? @wakudadavua kama bado unampenda Zitto si uombe nafasi ya uke wenza?
 
Wabunge wa cdm na viongozi wana sababu za kiushindani kumpotezea zzk lakini ina faida kwao kwani zzk ameamua kufanya siasa za kifedhuli dhidi ya serikali ya ccm. Lissu tu ndie wanaonana jicho kwa jicho na zitto. Zitto amekua akizua takwimu habari za uomgo au kupitosha habari akilenga kutetea hoja za kibeberu japo anajidai ni mjamaa.
Duh, kweli au?
 
Back
Top Bottom