CHADEMA "wamtosa" Zitto

CHADEMA "wamtosa" Zitto

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,505
Reaction score
16,005
Ndugu zangu,

Mara kadhaa nimetoa ushahidi wa unafiki ulipo kwa kambi ya upinzani dhidi ya Zitto na hata pale nilipoweka bayana jinsi Chadema walipoongeza chuki yao kwa Zitto baada ya Seif na wafuasi wake kutimkia Cuf.

Japo imekuwa ni kawaida ya Zitto kutunga habari za uongo kuhusu masuala mengi ya kitaifa lakini Chadema wamekuwa wakimpotezea.Ninaposema Chadema namaanisha Mbowe na si "keyboard worriors".

Mbowe kama KUB alipaswa amuunge mkono Zitto na hoja zake ambazo kimsingi zimewateka vijana wa Chadema mitandaoni na kama vile hautoshi hakuna Mbunge hata mmoja wa Chadema anayejaribu kumuunga mkono Zitto hata kwa kulike posti zake.

Niseme tu kwa uwazi,upinzani Tanzania "unatafunana" wenyewe kwa wenyewe.

Alamsik
 
Kwa bahati mbaya watu walioko upinzani wanajitambua, hawanaswi na mtego mbovu hivyo. Hakuna mwanacdm yoyote mwenye tatizo na Zito, kuanzia viongozi mpaka sisi mashabiki. Hakuna popote Zito kawekewa mizengwe na kiongozi yoyote wa cdm kufanya kazi zake wala kumpinga.

Kumbuka hivyo nini vyama viwili tofauti kila kimoja kinatekeleza wajibu wake na sio kufuatana mgongoni. Kama watafuatana mgongoni kwa kila kitu je tofauti ya hivyo vyama ni nini?

Kwenye ajenda za pamoja tumeona wakishirikiana bila mizengwe. Sio kwamba misimamo ya Zito iwe inaungwa mkono na kila kiongozi wa cdm au kinyume chake.

Kama wanafanana kwa kila kitu basi inabidi waungane. Ingekuwa cdm au ACT zinakwamishana kwenye utendaji hapo ungekuwa sawa kuhoji. Lengo la ACT na CDM Ni kuitoa ccm madarakani ila formation ni tofauti.

Viongozi wa kiislamu na kikristo wote lengo lao Ni kuwaongoza waumini dhidi ya shetani ili kumfikia Mungu, je umeona kila misimamo ya kiimani ya wakristo ikiungwa mkono na waisilamu au kinyume chake? Mbaya ni dini moja kuwa kikwazo kwa nyingine kufikia lengo la imani yao.
 
Wabunge wa cdm na viongozi wana sababu za kiushindani kumpotezea zzk lakini ina faida kwao kwani zzk ameamua kufanya siasa za kifedhuli dhidi ya serikali ya ccm. Lissu tu ndie wanaonana jicho kwa jicho na zitto. Zitto amekua akizua takwimu habari za uomgo au kupitosha habari akilenga kutetea hoja za kibeberu japo anajidai ni mjamaa.
 
Kwa bahati mbaya watu walioko upinzani wanajitambua, hawanaswi na mtego mbovu hivyo. Hakuna mwanacdm yoyote mwenye tatizo na Zito, kuanzia viongozi mpaka sisi mashabiki. Hakuna popote Zito kawekewa mizengwe na kiongozi yoyote wa cdm kufanya kazi zake wala kumpinga.

Kumbuka hivyo nini vyama viwili tofauti kila kimoja kinatekeleza wajibu wake na sio kufuatana mgongoni. Kama watafuatana mgongoni kwa kila kitu je tofauti ya hivyo vyama ni nini?

Kwenye ajenda za pamoja tumeona wakishirikiana bila mizengwe. Sio kwamba misimamo ya Zito iwe inaungwa mkono na kila kiongozi wa cdm au kinyume chake.

Kama wanafanana kwa kila kitu basi inabidi waungane. Ingekuwa cdm au ACT zinakwamishana kwenye utendaji hapo ungekuwa sawa kuhoji. Lengo la ACT na CDM Ni kuitoa ccm madarakani ila formation ni tofauti.

Viongozi wa kiislamu na kikristo wote lengo lao Ni kuwaongoza waumini dhidi ya shetani ili kumfikia Mungu, je umeona kila misimamo ya kiimani ya wakristo ikiungwa mkono na waisilamu au kinyume chake? Mbaya ni dini moja kuwa kikwazo kwa nyingine kufikia lengo la imani yao.
Huwezi kutatua tatizo kwa kulipuuza
 
Ndugu zangu,

Mara kadhaa nimetoa ushahidi wa unafiki ulipo kwa kambi ya upinzani dhidi ya Zitto na hata pale nilipoweka bayana jinsi Chadema walipoongeza chuki yao kwa Zitto baada ya Seif na wafuasi wake kutimkia Cuf.

Japo imekuwa ni kawaida ya Zitto kutunga habari za uongo kuhusu masuala mengi ya kitaifa lakini Chadema wamekuwa wakimpotezea.Ninaposema Chadema namaanisha Mbowe na si "keyboard worriors".

Mbowe kama KUB alipaswa amuunge mkono Zitto na hoja zake ambazo kimsingi zimewateka vijana wa Chadema mitandaoni na kama vile hautoshi hakuna Mbunge hata mmoja wa Chadema anayejaribu kumuunga mkono Zitto hata kwa kulike posti zake.

Niseme tu kwa uwazi,upinzani Tanzania "unatafunana" wenyewe kwa wenyewe.

Alamsik

Tulimwonya Mbowe asimfukuze zitto

kwa Mbowe bora CCM itawale milele na si ztto kuwa mpinzani mkuu
 
Huwezi kutatua tatizo kwa kulipuuza

Wewe dhamira yako ni uchonganishi kati ya Chadema na ACT, mumeivuruga CUF kwa kumtumia Lipumba sasa mnataka kuchonganisha ugomvi kati ya CDM na ACT wakati huko kwenu CCM kuna moto unaofukuta mmeshindwa kuuzima na sasa mnataka kuwasha moto kwa wengine, hamuwezi ng'ooo😁😁😁.
 
Itabidi cdm ikupatie unachotaka
Hamu yako yote iishee

Ova
 
Wewe dhamira yako ni uchonganishi kati ya Chadema na ACT, mumeivuruga CUF kwa kumtumia Lipumba sasa mnataka kuchonganisha ugomvi kati ya CDM na ACT wakati huko kwenu CCM kuna moto unaofukuta mmeshindwa kuuzima na sasa mnataka kuwasha moto kwa wengine, hamuwezi ng'ooo.
Kwahiyo mtu akieleza ukweli anachonganisha?mtaje Mbunge mmoja wa Chadema anayemuunga mkono Zitto na harakati zake.
 
Na wewe taja mbunge mmoja wa Chadema anayepinga harakati za Zitto!!, wewe hujui kwamba "a Silence implies consent ?!!".---- wao wanakubali anachofanya Zitto na sio lazima waunge mkono hadharani, na hata yapo mambo ya Chadema Zitto anayaunga mkono na hatoki hadharani kuyasema.

Gazeti la Chadema "Tanzania Daima" mara kwa mara limekuwa likichapisha habari za Zitto in positive ways je hapo huoni kuna mshikamano?!!.
 
Wapinzani wanachangia kwa namna tofauti na CCM, Wanakua na hoja tofauti kila wanaposimama ila Wabunge CCM wanaunga Mkono kila hoja na Mawazo yao yanafanana ingawa si wote, kwa mtazamo wangu.
 
Mbowe
 
Wabunge wa CCM wengi ni makasuku, angalia mbunge kama Kibajaji ni mtaalamu wa Mipasho, na msukuma ni bendera fuata upepo. Hao ndiyo type wa wabunge wa CCM.
 
Ndugu zangu,

Mara kadhaa nimetoa ushahidi wa unafiki ulipo kwa kambi ya upinzani dhidi ya Zitto na hata pale nilipoweka bayana jinsi Chadema walipoongeza chuki yao kwa Zitto baada ya Seif na wafuasi wake kutimkia Cuf.

Japo imekuwa ni kawaida ya Zitto kutunga habari za uongo kuhusu masuala mengi ya kitaifa lakini Chadema wamekuwa wakimpotezea.Ninaposema Chadema namaanisha Mbowe na si "keyboard worriors".

Mbowe kama KUB alipaswa amuunge mkono Zitto na hoja zake ambazo kimsingi zimewateka vijana wa Chadema mitandaoni na kama vile hautoshi hakuna Mbunge hata mmoja wa Chadema anayejaribu kumuunga mkono Zitto hata kwa kulike posti zake.

Niseme tu kwa uwazi,upinzani Tanzania "unatafunana" wenyewe kwa wenyewe.

Alamsik
Zitto kakutieni dole na limezama kisawasawa mnaliailia tu kama mataahira. Bado mpaka 2020 mtaanza kutajana.
 
Back
Top Bottom