Soma hapo uchambuzi wa Joseph Mihangwa.Hivi CHADEMA hawamtabui RAIS au wanapinga utaratbu uliomuweka RAIS MADARAKANI?
Msikilize katibu mkuu wa Chadema in his own words YouTube - Dr. Slaa atolea maelezo kutoka nje kwa Wabunge wa Chadema Nov. 18, 2010Hivi CHADEMA hawamtabui RAIS au wanapinga utaratbu uliomuweka RAIS MADARAKANI?
Vitendo
Thread yako haina mashiko.........
Jamani eleweni kuwa kwa mfumo wa sasa hata kama Kikwete alishinda lakini NEC ingeweza kumtangaza Dovutwa kuwa rais na kikwete asingepata nafasi ya kulalamika kisheria. So kumtambua ama kutomtambua Dovutwa kusingemwondolea Urais alopewa. Unaweza kupinga utaratibu uliotumiwa na NEC kumpa mtu urais.
Kimsingi ni kwamba NEC kisheria humpa mtu urais ikipenda kumpa and for the case of 2010 NEC ilimpenda zaidi Kikwete kuliko wagombea wengine.
Sasa hii thread iliyoletwa hapa imeangalia kutambua urais wa mtu kana kwamba kuna sheria inayomtaka mtanzania kumtambua rais.
tunaelewa sana katiba ndo mana tunasema ishu sio kumtangaza tu mwenye kura nyingi katiba inatakiwa kusema mwenye kura nyingi za halali (ambazo hazijachakachuliwa)
tunaelewa sana katiba ndo mana tunasema ishu sio kumtangaza tu mwenye kura nyingi katiba inatakiwa kusema mwenye kura nyingi za halali (ambazo hazijachakachuliwa)
Hata kama kura hizo nyingi zimechakachuliwa. Bado kuna tatizo.Hapo ndipo mnaposhindwa kuielewa katiba. Katiba haiipi tume ya uchaguzi mamlaka ya kuamua nani awe rais, ila inaipa mamlaka ya kumtangaza yule mwenye kura nyingi kuwa Rais.