Chadema wamtambua rais wa tanzania dr j.m kikwete.

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
582
103
Kwa maneno aliyoyatoa Mh Tundu Lissu(MB) na mwanasheria wa CHADEMA inaonyesha CHADEMA
wameanza kumtambua Rais Kikwete kuwa ndiyo Rais Halili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
"Na nyinyi mnafahamu RAIS KIKWETE amesema bungeni wiki iliyopita kwamba wabunge wasisahau kwenda majimboni kwao".

source:
http://http://www.youtube.com/watch?v=etUrLR8UciU
 
Hivi CHADEMA hawamtabui RAIS au wanapinga utaratbu uliomuweka RAIS MADARAKANI?
 
Jamani eleweni kuwa kwa mfumo wa sasa hata kama Kikwete alishinda lakini NEC ingeweza kumtangaza Dovutwa kuwa rais na kikwete asingepata nafasi ya kulalamika kisheria. So kumtambua ama kutomtambua Dovutwa kusingemwondolea Urais alopewa. Unaweza kupinga utaratibu uliotumiwa na NEC kumpa mtu urais.
Kimsingi ni kwamba NEC kisheria humpa mtu urais ikipenda kumpa and for the case of 2010 NEC ilimpenda zaidi Kikwete kuliko wagombea wengine.
Sasa hii thread iliyoletwa hapa imeangalia kutambua urais wa mtu kana kwamba kuna sheria inayomtaka mtanzania kumtambua rais.
 
Haya na Bagbo naye kama vile...! Bora yeye kaona tume iliyopo haimtangazi kajitangazia ya kwake
 
Jamani eleweni kuwa kwa mfumo wa sasa hata kama Kikwete alishinda lakini NEC ingeweza kumtangaza Dovutwa kuwa rais na kikwete asingepata nafasi ya kulalamika kisheria. So kumtambua ama kutomtambua Dovutwa kusingemwondolea Urais alopewa. Unaweza kupinga utaratibu uliotumiwa na NEC kumpa mtu urais.
Kimsingi ni kwamba NEC kisheria humpa mtu urais ikipenda kumpa and for the case of 2010 NEC ilimpenda zaidi Kikwete kuliko wagombea wengine.
Sasa hii thread iliyoletwa hapa imeangalia kutambua urais wa mtu kana kwamba kuna sheria inayomtaka mtanzania kumtambua rais.

Hapo ndipo mnaposhindwa kuielewa katiba. Katiba haiipi tume ya uchaguzi mamlaka ya kuamua nani awe rais, ila inaipa mamlaka ya kumtangaza yule mwenye kura nyingi kuwa Rais.
 
tunaelewa sana katiba ndo mana tunasema ishu sio kumtangaza tu mwenye kura nyingi katiba inatakiwa kusema mwenye kura nyingi za halali (ambazo hazijachakachuliwa)
 
tunaelewa sana katiba ndo mana tunasema ishu sio kumtangaza tu mwenye kura nyingi katiba inatakiwa kusema mwenye kura nyingi za halali (ambazo hazijachakachuliwa)

Hayo mambo ya za halali ambazo hazijachakachuliwa umesema wewe. Katiba haijasema hivyo. Tatizo lenu mnadhani katiba inaweza kuwa replaced na assumptions!
 
ni kweli katiba haijasema hivyo ndio mana tunataka ibadilishwe ili hayo maneno yaongezwe
 
tunaelewa sana katiba ndo mana tunasema ishu sio kumtangaza tu mwenye kura nyingi katiba inatakiwa kusema mwenye kura nyingi za halali (ambazo hazijachakachuliwa)

Let us be more realistic here, suppose CDM won for presidential position, je hizi kelele against NEC & constitution zingekuwepo? If YES for what?, if NO why?. Kabla ya uchaguzi KATIBA ilikuwepo, NEC ilikuwepo yet wanasiasa waliamua kwa hiyari kuingia kwenye kinyang'anyiro!!!, I believe kwa upande wa opposition ilikuwa kwa nia njema tu ili hata Kama wasingeshinda ngazi ya urais waweze kuongeza idadi ya wabunge wapate nguvu ya kuwa challenge rulling party. Kwa Hilo wamefanikiwa na sisi wapiga kura tunafurahia Hilo kwa kuwa kwa sehemu kubwa indiyo maana ya kuwa na multi-party system katika nchi. Now is time to cooperate with any appropriate entity including the president to serve this nation using the trust granted to you by voters.
 
QUOTE=truth;Let us be more realistic here, suppose CDM won for presidential position, je hizi kelele against NEC & constitution zingekuwepo? If YES for what?, if NO why?.

Kama ulikua unafuatilia kampeni za CHADEMA au kama ulisoma ilani yao,then ungefahamu kua suala la KATIBA MPYA lilikua moja ya vipaumbele vikubwa. Ivyo kama wangeshinda,ina maana wangetekeleza vipaumbele vyao,ikiwemo mabadiliko ya katiba ambayo yangeenda sambamba na mabadiliko ya mfumo wa NEC. Pia suala katiba mpya si la leo. Lipo toka baada ya kurudishwa tena mfumo wa vyama vingi.
 
Hapo ndipo mnaposhindwa kuielewa katiba. Katiba haiipi tume ya uchaguzi mamlaka ya kuamua nani awe rais, ila inaipa mamlaka ya kumtangaza yule mwenye kura nyingi kuwa Rais.
Hata kama kura hizo nyingi zimechakachuliwa. Bado kuna tatizo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom