Chadema hawataitakii mema Tanzania yetu.
Kauli zao na vitendo vyao vyote vinaonesha kuashiria fujo, uvunjifu wa amani na uchu wa madaraka.
Hivi wana ubavu gani wa kuitisha Serikali?
Mini naiasa Serikali ya Tanzania. Usipoziba ufa, utajenga ukuta.
Hawa viongozi wa Chadema wachululiwe hatua kali za kisheria kwa kauli zao za uvunjifu wa amani ili wasituletee fujo na uvunjifu wa amani.
Siku tisa? Wana maana gani siku tisa? Na kwa sasa, Serikali iwapuuze kwa hayo maneno yao, na ione baada ya hizo siku tisa wamekusudia nini? Wakianzisha uvunjifu wa amani au chokochoko zinazoashiria uvunjifu wa amani baada ya siku hizo tisa, basi wachukuliwe hatua kali za kisheria.

Kumbe na wewe ni pimbi kichwani? Si lazima kuchangia vitu ambavyo ni juu ya uelewa wako.Chadema hawataitakii mema Tanzania yetu.
Kauli zao na vitendo vyao vyote vinaonesha kuashiria fujo, uvunjifu wa amani na uchu wa madaraka.
Hivi wana ubavu gani wa kuitisha Serikali?
Mini naiasa Serikali ya Tanzania. Usipoziba ufa, utajenga ukuta.
Hawa viongozi wa Chadema wachululiwe hatua kali za kisheria kwa kauli zao za uvunjifu wa amani ili wasituletee fujo na uvunjifu wa amani.
Siku tisa? Wana maana gani siku tisa? Na kwa sasa, Serikali iwapuuze kwa hayo maneno yao, na ione baada ya hizo siku tisa wamekusudia nini? Wakianzisha uvunjifu wa amani au chokochoko zinazoashiria uvunjifu wa amani baada ya siku hizo tisa, basi wachukuliwe hatua kali za kisheria.
japo wanaashiria uvunjifu wa amani...serikali nayo iangalie madai kama ni ya msingi.....!
Mbona hueleweki sema moja tukuelewe wachukuliwe hatua au wapuuzwe, unawaogopa wakati huo huo unajifanya mkali.Chadema hawataitakii mema Tanzania yetu.
Kauli zao na vitendo vyao vyote vinaonesha kuashiria fujo, uvunjifu wa amani na uchu wa madaraka.
Hivi wana ubavu gani wa kuitisha Serikali?
Mini naiasa Serikali ya Tanzania. Usipoziba ufa, utajenga ukuta.
Hawa viongozi wa Chadema wachululiwe hatua kali za kisheria kwa kauli zao za uvunjifu wa amani ili wasituletee fujo na uvunjifu wa amani.
Siku tisa? Wana maana gani siku tisa? Na kwa sasa, Serikali iwapuuze kwa hayo maneno yao, na ione baada ya hizo siku tisa wamekusudia nini? Wakianzisha uvunjifu wa amani au chokochoko zinazoashiria uvunjifu wa amani baada ya siku hizo tisa, basi wachukuliwe hatua kali za kisheria.
Chadema hawataitakii mema Tanzania yetu.
Kauli zao na vitendo vyao vyote vinaonesha kuashiria fujo, uvunjifu wa amani na uchu wa madaraka
.
Hivi wana ubavu gani wa kuitisha Serikali?
Mini naiasa Serikali ya Tanzania. Usipoziba ufa, utajenga ukuta.
Hawa viongozi wa Chadema wachululiwe hatua kali za kisheria kwa kauli zao za uvunjifu wa amani ili wasituletee fujo na uvunjifu wa amani.
Siku tisa? Wana maana gani siku tisa? Na kwa sasa, Serikali iwapuuze kwa hayo maneno yao, na ione baada ya hizo siku tisa wamekusudia nini? Wakianzisha uvunjifu wa amani au chokochoko zinazoashiria uvunjifu wa amani baada ya siku hizo tisa, basi wachukuliwe hatua kali za kisheria.
Kumbe na wewe umegundua, mijitu mingine haijui hata madai yao ya msingi yanasubiri hadi yaambiwe na Pinda.Ina maana wewe hujui madai ya msingi ni yapi mpaka serikali iangalie? Duh! Tutafika kweli.
kaka usiulize maisha sasa hivi magumu sana, after nine days tunaingia mtaani. mishahara haitoshi kabisa, kweli acha kwanza waangalie response ya wenzetu sehemu zingine kama ni nzuri kama ya jana then tunamtoa madarakani. Siumeona jamaa wameogopa sasa hivi wanashusha bei ya sukari? hii haijatokea kwa bahati mbaya ni wana-interejensia walijua nini kitaongelewa. kweli wasipotekeleza wanatoka madarakani.
Kwa hiyo uchu wa madaraka ni kwa CDM tu u sio, na hao waliokaa madarakani miaka 50 maendeleo hakuna na wanachakachua kura ili waendelee kutawala wana uchu wa nini? acha uvivu wa kufikiri.